The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,520
- 122,931
Mungu humpa binadamu mitihani ya kidunia ili amkumbuke,maradhi na shida za kidunia vyoye hivyo ni mitihani tu ya mwenyezi Mungu akitukumbusha kua yeye yupo na tusijisahau sana mambo ya kidunia na kuacha kumtumikia yeye.Wengi wetu tumekuwa tukidharau sana kwenda kanisani na kuona hakuna Kitu tunachokipata, lakini itafika Muda wa kwenda kanisani utashindwa
Either kwa ugonjwa au Kitu Chochote
Kwa Hiyo tujitahidi jumapili mara moja kwa wiki hupotez Kitu, hata
Kama ni ubize jumapili hutambulika siku jumapili ni mapumziko.