Nilipoingia mahabusu kwa kubambikwa kesi ya kuiba na kuvunja

Ukishaona umedakwa upo lockup na hakuna ndug yako au rafik anaejua kwanza kabisa unatakiwa usiwe nunda maana utaumia mwnyewe , tulia tu na uombe msaada wa mawasiliano ili uwape taarifa watu wako waje wakutoe haraka kabla hujaanza trip za mahakaman maana ukizianza hizo trip unaweza kujikuta umekaa mahabusu hat siku 21 bila watu wako kujua
ilishashawahi kumkuta jamaa yangu mmoja mwenye tabia ya kusafirisafiri alidakwa akawekwa ndan karibu mwez mzima sisi tunajua kasafiri kumbe yuko mahabusu (gerezan) anatokea huko kupelekwa mahakamani
Askar walimkazia kwasabab ya ukorofi
 
Back
Top Bottom