toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,607
- 4,771
Msaada: Wapi nitapata Signal booster kwa simu na inafanyaje kazi?
Sehemu nilipo mtandao unasumbua ukitoka nje ya nyumba tu mtandao umejaa ila ukiingia ndani mtandao haukamati.
Nimeona na kusikia kitu kinaitwa Signal booster kwa ajili ya kuboost network
Jee inafanyaje kazi? Kuna mtu ashawahi kutumia? Bei zake zipoje??
Nawasilisha