Nilipata akili baada ya kifo cha Baba yangu

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Mwaka 2015 nilimpoteza baba yangu ambaye alikuwa tegemezi kubwa sana katika familia, enzi za uhai wa baba financially alikuwa vizuri sana. Nilikuwa nimeajiriwa, pesa zangu ziliishia kwenye pombe na wanawake. Imagine at the age of 30 I was staying at home with my parents na nilikuwa na kazi nzuri tu.

Nilikuwa ninaamini nina back-up ya baba yangu milele (tumeambiwa na vitabu vya dini tusiwategemee binadamu). Nakumbuka wakati natoka makaburini nilikuwa na mawazo mengi sana, maisha yatakuaje bila Baba? Mama yetu nani atamtunza ingali tulikuwa tukitegemea mshahara mnono wa Baba?

Niliamua kuishi nyumbani kwa miezi mitatu tu nikaenda kupanga, wakati huo pesa zangu zote nilizielekeza kwenye investment, pombe niliacha, siku-date na mwanamke yoyote for 2 yrs, baada ya miaka mitatu niliona mabadiliko makubwa sanaa, ngoja niwatajie hapa kwa ufupi:

1. Nimeoa nina mtoto mmoja
2. Situmii pombe
3. Naishi kwangu
4. Nina miradi mitatu.

Ni wengi sana wanaonaga maisha yao yamefika mwisho pale wanapopoteza watu wao wa karibu lakini nakuambia ndugu yangu, be positive!
 
Unapoanza kujitegemea kimaisha ndiyo na akili inapanuka zaidi, haijalishi una miaka 16 au la unaweza ukamzidi uelewa mwenye miaka 30 anaeishi kwa wazazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...mbna wahenga walishasema,MTEGEMEA CHA NDUGU UFA MASKINI...

Na huu msemo tulikuwa tunauimba shle ya msingi,au ndugu ulijua ni kinyimbo tuu imetumgwa..
 
Mentality zingine ni wazazi wanatujengea.

We modern generation Tuwajenge watoto wajue kuna kujitegemea soon as they start growing up.

But big up. Better late than never.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2015 nilimpoteza baba yangu ambaye alikuwa tegemezi kubwa sana katika familia, enzi za uhai wa baba financially alikuwa vizuri sana. Nilikuwa nimeajiriwa, pesa zangu ziliishia kwenye pombe na wanawake. Imagine at the age of 30 I was staying at home with my parents na nilikuwa na kazi nzuri tu.

Nilikuwa ninaamini nina back-up ya baba yangu milele (tumeambiwa na vitabu vya dini tusiwategemee binadamu). Nakumbuka wakati natoka makaburini nilikuwa na mawazo mengi sana, maisha yatakuaje bila Baba? Mama yetu nani atamtunza ingali tulikuwa tukitegemea mshahara mnono wa Baba?

Niliamua kuishi nyumbani kwa miezi mitatu tu nikaenda kupanga, wakati huo pesa zangu zote nilizielekeza kwenye investment, pombe niliacha, siku-date na mwanamke yoyote for 2 yrs, baada ya miaka mitatu niliona mabadiliko makubwa sanaa, ngoja niwatajie hapa kwa ufupi:

1. Nimeoa nina mtoto mmoja
2. Situmii pombe
3. Naishi kwangu
4. Nina miradi mitatu.

Ni wengi sana wanaonaga maisha yao yamefika mwisho pale wanapopoteza watu wao wa karibu lakini nakuambia ndugu yangu, be positive!
Natumaini hukumtelekeza mama, maana amefiwa na mume, halafu mtoto naye anakwenda kupanga mtaani.

Hongoera kwa kupata ujasiri,kuondokewa huwa kunaumwa sana asikwambie mtu,ila ukishaondokewa Mungu hatuachi tukiendelea kukata tamaa,kuna ujasiri unakujia unajikuta automatically umeweza kusonga mbele.Jaribu kupata picha ya Swala porini ambaye mama yake anakamatwa na kuliwa na Simba halafu yeye anabaki peke yake,analia kwa muda flani,lakini baada ya siku moja anaanza kupata ujasiri na anaanza kusonga mbele kivyake mpaka anakuwa na kuzaa na kuzeeka...
 
Mwaka 2015 nilimpoteza baba yangu ambaye alikuwa tegemezi kubwa sana katika familia, enzi za uhai wa baba financially alikuwa vizuri sana. Nilikuwa nimeajiriwa, pesa zangu ziliishia kwenye pombe na wanawake. Imagine at the age of 30 I was staying at home with my parents na nilikuwa na kazi nzuri tu.

Nilikuwa ninaamini nina back-up ya baba yangu milele (tumeambiwa na vitabu vya dini tusiwategemee binadamu). Nakumbuka wakati natoka makaburini nilikuwa na mawazo mengi sana, maisha yatakuaje bila Baba? Mama yetu nani atamtunza ingali tulikuwa tukitegemea mshahara mnono wa Baba?

Niliamua kuishi nyumbani kwa miezi mitatu tu nikaenda kupanga, wakati huo pesa zangu zote nilizielekeza kwenye investment, pombe niliacha, siku-date na mwanamke yoyote for 2 yrs, baada ya miaka mitatu niliona mabadiliko makubwa sanaa, ngoja niwatajie hapa kwa ufupi:

1. Nimeoa nina mtoto mmoja
2. Situmii pombe
3. Naishi kwangu
4. Nina miradi mitatu.

Ni wengi sana wanaonaga maisha yao yamefika mwisho pale wanapopoteza watu wao wa karibu lakini nakuambia ndugu yangu, be positive!
Hongera sana.
Hujaongelea Urithi uliopata umechangia kiasi gani kwenye mafanikio hayo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom