Hivi wengine ngumi mnaangaliaje sasa lile pambano kwa unavyoona ww kidunda alikua kapigwa tuache kuviponda vya kwetu kuna vingine hatutakiwi ndyo kuvipa sifa zisizostahili lkn vingine kama mtu kaonyesha uwezo tumpe sifa huyo katompa unaemfagilia alivyoona maji yanazid unga akaona acheze fauloMabondia wengi wa Jeshini hawana uwezo ila wanabebwa tu , Kidunda hawezi kumpiga Katompa hata wakirudia game mara 10 ...
Kweli kabisa mkuu shida ya Watanzania sisi ni wivu,chuki mtu anaona bora amsapoti mtu kutoka kwingine kuliko kumsapoti mbongo mwenzake shida nyingine kuna baadhi ngumi wameanza kuangalia kipindi hiki cha hv karibuni kwahyo hata hajui taratibu za boxing utakuta mtu anakurupuka huko na kujitolea maamuzi utasikia watanzania tunabebwa tuache utumwa huoKupitia watu Kama huyu mtoa mada ndio walinifanya niachane na siasa za Chadema ,ulikua huniambii kitu kuhusu Chadema ,Ila nilipokuja gundua Ni watu wa kupinga Kila Jambo hata lenye tija kwa nchi niliamua kuchoma Hadi kadi yao...
Mabondia wengi wa Jeshini hawana uwezo ila wanabebwa tu , Kidunda hawezi kumpiga Katompa hata wakirudia game mara 10 .
...
huko kote alikoshiriki mashindano alileta nini ? ulichoandika hapa ndicho wengi wanaandika lakini hakuna ushahidi , hawa mabondia wa ngome ndio wanaongoza kwa utovu wa nidhamu mitaani , vurugu za kupiga raia kwenye Bar za Keko hawa ndio kazi yao , zaidi ya hicho hawana lolote lingine .Huwezi kuwa umeangalia ngumi, Kama uliangalia basi huenda huzijui ngumi. Mabondia kutoka ngome wapo vizuri Sana, wengi wao huingia professional wakiwa wameiva na wana uzoefu wa kutosha maana hushiriki mashindano ya majeshi na jumuiya ya madola, Ila pia hua hawana kazi nyingine wameajiriwa kwa kazi hiyo Wana lipwa mshahara kwa kazi hiyo, maisha yao yote huishi kwenye ngumi tofauti na wengine wanaolazmka kutafuta hela ili kujikimu
Heb anza kuwafatilia JW Mara chache Sana kupoteza mchezo na hata Jana kidunda alitawala Sana mchezo ni wazi alikua anashinda kwa KO
Huyo jamaa Ni wa kumpuuza tu fuatilia nyuzi zake ,yeye Ni mtu wa kupinga tu ,yaan Chadema imeharibu vijana Hadi wanakosa uzalendo kwa watanzania wenzao.Kweli kabisa mkuu shida ya Watanzania sisi ni wivu,chuki mtu anaona bora amsapoti mtu kutoka kwingine kuliko kumsapoti mbongo mwenzake shida nyingine kuna baadhi ngumi wameanza kuangalia kipindi hiki cha hv karibuni kwahyo hata hajui taratibu za boxing utakuta mtu anakurupuka huko na kujitolea maamuzi utasikia watanzania tunabebwa tuache utumwa huo
Nakuhakikishia kama game ingeendelea kidunda asingefika round ya 6
acha mambo yako wewe ivi zile ambakati za kidunda ulikua uzioni au katompa kapiga ngumi zipi zilizo mzingua kidunda?huko kote alikoshiriki mashindano alileta nini ? ulichoandika hapa ndicho wengi wanaandika lakini hakuna ushahidi , hawa mabondia wa ngome ndio wanaongoza kwa utovu wa nidhamu mitaani , vurugu za kupiga raia kwenye Bar za Keko hawa ndio kazi yao , zaidi ya hicho hawana lolote lingine .
wafuatilie vizuri
Pelekeni hawa mabondia wakapigane nje ya nchi muone kitakachotokea
kumbe ni chuki binafsi sisi ya huko bar keko atuyajui tunazungumzia ngumi za Jana usiku, usituchanganishie mambo, hapaYaan unadhan kwamba hawa mabondia unawafuatilia peke yako story za kina Thomas mashali ndyo unatuletea mtaje bondia gn mwengine kampiga mtu bar shida umeanza fuatilia ngumi kipindi hiki azam tv walivyoupa thaman huo mchezo kwa uliyoyaandika inaonekana kabisa huu mchezo haujui ila sishangai ndyo tulivyo watz kitu mtu hajui lkn atakielezea kama anakijuahuko kote alikoshiriki mashindano alileta nini ? ulichoandika hapa ndicho wengi wanaandika lakini hakuna ushahidi , hawa mabondia wa ngome ndio wanaongoza kwa utovu wa nidhamu mitaani , vurugu za kupiga raia kwenye Bar za Keko hawa ndio kazi yao , zaidi ya hicho hawana lolote lingine .
wafuatilie vizuri
Pelekeni hawa mabondia wakapigane nje ya nchi muone kitakachotokea
Yaan unadhan kwamba hawa mabondia unawafuatilia peke yako story za kina Thomas mashali ndyo unatuletea mtaje bondia gn mwengine kampiga mtu bar shida umeanza fuatilia ngumi kipindi hiki azam tv walivyoupa thaman huo mchezo kwa uliyoyaandika inaonekana kabisa huu mchezo haujui ila sishangai ndyo tulivyo watz kitu mtu hajui lkn atakielezea kama anakijua
Kama huwaelewi watanzania utapata tabu....Sielewi wenzangu mlikuwa mnaangalia game ipi, mbona Kidunda alikuwa anaongoza kwa point kabla ya kuahirishwa pambano?[emoji44][emoji3061]
Vijana wa Mburahati mmekuja kumtetea jamaa yenuKidunda alikua captain wa Tanzania katika ngumi za ridhaa kwenye mashindano ya kimataifa, Amesha cheza Commonwealth games, Olimpic games sio bondia wa kubabaisha alikua mmoja wa mabondia tegeneo wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya ridhaa.
Mimi naona amechelewa kuingia ngumi za kulipwa. Ukiacha faulo ya kupiga kichwa aliyocheza katompa bado Kidunda alikua akiongoza kwa point.
Msimchukulie poa Kidunda.
Hahahaha usipite lugalo ubwa weweMabondia wengi wa Jeshini hawana uwezo ila wanabebwa tu , Kidunda hawezi kumpiga Katompa hata wakirudia game mara 10 .
Hii ndio maana Tanzania haifanyi lolote kwenye michuano ya Olympic au mashindano yoyote yale ambayo inapeleka mabondia wa jeshi.
Kila mwenye macho kaona mawe ya Katompa, hakuna cha Kidunda wala nini, ngumi ni Mazoezi na mbinu za kisasa, huwezi kuwa na nyumba ndogo 10 ukategemea ushindi , miguu itakosa nguvu na utapigwa mapema tu
hivi uliwahi kujiuliza kwanini mabondia wenu hawaendi kupigana nje ya nchi ?Watanzania hatupendan roho mbaya na chuki tu ata kwenye vitu vya msingi
Mkuu ukicheza rafu ushinde anapewa mwenzako. Ile haikuwa Rafu ni bahati mbaya tu, game ilipaswa kuendelea hata sikuona jeraha la kuweza kuvunja pambano.Katompa alishaanza kuzidiwa katika lile pambano na Kidunda, ndio maana ikabidi hadi atumie kichwa na alikatwa pointi kabla ya pambano kusimamishwa.
Alianza kucheza rafu baada ya kuzidiwa. Kwa tunao angalia ngumi na kuzifuatilia tuliona wazi Kidunda alikuwa anaongoza pointi na asingepigwa kichwa angeshinda hata kwa knok out.
Binafsi nampongeza sana Kidunda, kwa lile pambano nimeamini ni bondia bora kabisa
Mkuu ukicheza rafu ushinde anapewa mwenzako. Ile haikuwa Rafu ni bahati mbaya tu, game ilipaswa kuendelea hata sikuona jeraha la kuweza kuvunja pambano.
ungekuwa usha wai umia maeneo kama Yale ungekaa kimya tu, au ulitaka hadi apasuke jicho ndo ujue kaumiaPamoja sana,yule dogo Juma Choki anajua sana,akipata kocha mzuri atapata mafanikio.Katompa alishaanza kuzidiwa katika lile pambano na Kidunda, ndio maana ikabidi hadi atumie kichwa na alikatwa pointi kabla ya pambano kusimamishwa.
Alianza kucheza rafu baada ya kuzidiwa. Kwa tunao angalia ngumi na kuzifuatilia tuliona wazi Kidunda alikuwa anaongoza pointi na asingepigwa kichwa angeshinda hata kwa knok out.
Binafsi nampongeza sana Kidunda, kwa lile pambano nimeamini ni bondia bora kabisa