mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Jana tulilala Giza.
poleni,sie huku wameshachukua umeme wao,Ahsante TanescoJana tulilala Giza.
Ndugu yangu yuko Moro anasema wamekata tayari asubuhiNadhani kuna kamgao ka kisiri siri. Walikata usiku saa sita mpaka saa nane then wamekata hii asubuhi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unamawazo ya kigenius sanakuna vijana wa chadema pale TANESCO wanafanya hujuma.waindolewe wote
Acha upumbavu wewe kila uzi unaandika upupu wako huu. Una ushahidi gani juu ya hilo?kuna vijana wa chadema pale TANESCO wanafanya hujuma.waindolewe wote