Niliona video mh waziri akisema hakuna mgao. Iakini ubungo yote bado

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,358
2,000
Hapa lazima kuna tatizo mahala fulani. Huku kwetu Kibamba Karibu kila siku wanakata. Na jana siku nzima Tangi bovu hakukuwa na umeme. ☆Happy☆ ♡Valentine's♡
 

KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000
Hairuhusiwi kusema umeme umekata. Wale waunga mkono wanasema Tanzania imekuwa kama ulaya ghafla bin vuuu baada ya 2015. Mabomba yanatoa maziwa badala ya maji, umeme 24/7, elimu inatolewa bure, huduma za afya ni bure, mikopo chuo ni asilimia 100, waliokuwa wanadaiwa benki wamesamehewa madeni, uchumi unakuwa kwa asilimia 11 na wala siyo 6.5 kama wachochezi wanavyodai, biashara zimekua, yaani ni kama Ujerumani vile. Achilia mbali Dreamliner, flyover na ma-stiglazgoji. Yaani ni balaa tupu.
 

UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,760
2,000
Jana sisi wa maeneo ya mbezi Beach, mwenge mpaka bamaga kulikuwa Hakuna umeme. Nilienda kufata uduma kwenye ofisi ya umma nikaambiwa hatuwezi kufanya kwa sababu hatuna umeme. Ulirudi 12 jioni Sasa Sina hakika na Tanesco wanaogopa Kusem wanatatizo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom