dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,409
- 15,994
Nilijuta nilitiwa ilazo kwa tano nikagoma sasa HV hapo hkn viwanja na kupanga bills nne huna apartmentHuo mwaka 2017 ungenunua kiwanja Dodoma, sahv unakula kuku kwa mrija
Nilijuta nilitiwa ilazo kwa tano nikagoma sasa HV hapo hkn viwanja na kupanga bills nne huna apartmentHuo mwaka 2017 ungenunua kiwanja Dodoma, sahv unakula kuku kwa mrija
Tukuyu unyama Sana mbna kwa mtu anaependa mvua na baridi muda woteYani ile mitofali ndo inazidisha ubaya..bora yakifunikwa na plasta..mimi naona Tukuyu ni kuzuri zaidi...
Njoo inbox tuyajengeiwambi
Mbeya ni kubwa mwanangu!Wakuu, Mbeya sijui kuna shida gani thamani ya majengo na viwanja havipandi thamani kabisa!!
Mwaka 2017 nilinunua kiwanja chenye pagala (jengo ambalo halijaisha). Nikalimalizia nikaezeka na kupiga plasta.
Ila hadi leo kupata mpangaji wa elfu 15 maeneo hayo hamna. Nawaza kuuza ila bei ya maeneo hayo ni mbovu sana!! Naweza kuambulia kuuza milion 4.
Ni huzuni kwakweli
Boss nnaijua mbeya in and out ili ufike tunduma unapita wapi labda?Mpaka wa tunduma upo mbeya au songwe?
Au hujui songwe ni mkoa saizi
Kwaio njombe.iringa..mpaka chalinze kote ni pazuri kuwekeza ardhi kisa njia inaenda mpakani?Boss nnaijua mbeya in and out ili ufike tunduma unapita wapi labda?
Haya majina mapya ya mikoa sijui wilaya hayabadilishi chochote nilicho andika hapo juu
Mkoa wa songwe na mbeya ni kitu kile kile kinachobadilika ni shughuli za kiutawala na majina ila miundombinu na fursa vinategemeana
Poor planningYani Mbeya maeneo mengi ni mabaya mabaya jamani...
Cha kushangaza hiyo miji/mikoa ya wakulima ndiyo inaongoza kwa GDP per Capita nchini. Nchi hii ni maskini sana.Mji au hata nchi kama haina viwanda ni vigumu sana kuendelea na kuwa na mzunguko wa hela.
Mji au nchi yeyote inayotegemea kilimo kama nguzo mkuu ya kupata fedha, hiyo nchi au mji itakuwa hauna mzunguko wa pesa na itakuwa maskini.
Kama Kuna umeme nipagishie mkuuiwambi
Anza kutaja kwanza kwenu mwaisaPoor planning
Yaani Urban planning ya Tanzania ni ya kipumbavu sana
We angalia mji kama Mbeya , nalo ni jiji eti ,lile zizi
Na si Mbeya Tu miji mingi Tanzania ni takataka
@lucasmwashambaWakuu, Mbeya sijui kuna shida gani thamani ya majengo na viwanja havipandi thamani kabisa!!
Mwaka 2017 nilinunua kiwanja chenye pagala (jengo ambalo halijaisha). Nikalimalizia nikaezeka na kupiga plasta.
Ila hadi leo kupata mpangaji wa elfu 15 maeneo hayo hamna. Nawaza kuuza ila bei ya maeneo hayo ni mbovu sana!! Naweza kuambulia kuuza milion 4.
Ni huzuni kwakweli
Thamani ya mazao ya chakula, lakini siyo liquid money.Cha kushangaza hiyo miji/mikoa ya wakulima ndiyo inaongoza kwa GDP per Capita nchini. Nchi hii ni maskini sana.