Nilinunua pagala Mbeya 2017 kwa shilingi 3.5M, haliuziki hadi leo

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
504
874
Wakuu, Mbeya sijui kuna shida gani thamani ya majengo na viwanja havipandi thamani kabisa!!

Mwaka 2017 nilinunua kiwanja chenye pagala (jengo ambalo halijaisha). Nikalimalizia nikaezeka na kupiga plasta.

Ila hadi leo kupata mpangaji wa elfu 15 maeneo hayo hamna. Nawaza kuuza ila bei ya maeneo hayo ni mbovu sana!! Naweza kuambulia kuuza milion 4.

Ni huzuni kwakweli
 
Wakuu, Mbeya sijui kuna shida gani thamani ya majengo na viwanja havipandi thamani kabisa!!

Mwaka 2017 nilinunua kiwanja chenye pagala (jengo ambalo halijaisha)
Nikalimalizia nikaezeka na kupiga plasta.

Ila hadi leo kupata mpangaji wa elfu 15 maeneo hayo hamna. Nawaza kuuza ila bei ya maeneo hayo ni mbovu sana!! Naweza kuambulia kuuza milion 4.

Ni huzuni kwakweli
Ukitaka kuliuza kwanza ondoa zindiko ulilodanganywa uweke.
 
Back
Top Bottom