Pole sanachief!!! Hiyo inaweza kuwa laana, ikapelekea hao watoto kuishi katika kizazicha laana. Kitu cha msingi ni kuwaita wazazi na ndg wa karibu ili muwezekulielezea hili. Maana tatizo kubwa hapa ni usiri uliopo. Ingekuwa ni laanawewe mwenyewe usinngeweza kufanya hizo biashara na kuendelea au kufika hapoulipo. Hili tatizo likiwekwa wazi basi hata dada yako atakuwa na msimamo wakutafuta mwanaume wake, na wewe utakuwa na ujasiri wa kuwasaidia wale watotokama wako/wapwa, lakini pia kuoa mwanamke wako.
Kuna baadhi yamakabila huwa hawarusiwi kuoa binamu. Lakini mara ikitokea wamepeana mimba nabinamu, basi wana ndugu wanakaa then wanawaruhusu muishi pamoja kwa ajili yakulinda heshima yenu na ya ukoo.
Otherwise,kumgegeda dada yako kuna laana kutokana na majukumu ambayo huambana kamamkipena mimba.