Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?

kama wewe ni mkristo nenda kanisa la kilokole muone mchungaji mueleze ukweli atafanya maombi ya kukutenga na hiyo hali na utapata mafundisho ya kukusaidia
 
Hao watoto watakuita mjomba au baba
Vipi upande wa ndugu zenu washajua kama bado siku wakijua itakuaje?Hapo ndio utawuliza hiyo ni laana au lah

Ninachokijua huo si mchezo mwema kwenye maisha yako na kama umeleta uzi wa Kinageria huo utakuwa upuuzi wako..
 
mwanadamu hufanya kosa mara moja lakini isiwe ndio mchezo, na wewe pia inaelekea mchezo unaupenda,mwanamme unazidiwaje kete na mwanamke? yani wanaume wanazidi kupungua siku hadi siku...
 
JF ingekuwa yangu ningekufukuza kwani wewe ni mnyama aliyelaaniwa! hata dini huna???
 
Kama ni hadidhi basi wewe ni mtunzi mzuri lakini kama ni story ya kweli weka kichwani mwako kwamba tayari una watoto wawili na mke maana hata ukificha leo hao watoto wataambiwa tu baba yao. NB: umemharibia malengo dadako chunga usije ukaampa Nat hiv
 
Hakimu ni Mungu, sisi sote wakosaji. Kama ni laana au baraka ajuae yeye. La maana songambele!
^^
 
Hii movie mmeicheza vizuri inapatikana wapi
 
aisee hii muvi kali sana.
ila chakuchangia; ni vyema kama utatumia hekima ambayo mtaweza kumweleza mama yenu maana lasivyo mwisho wa siku maisha kwako yatakuwa magumu na lazima siku itafika na kwanjia yoyote ile ambayo mama yenu atafahamu hilo na itakuwa ni mbaya zaidi kuliko utakavyokuwa umedhani.
 

Movie, kwa nini baba yako alikufa kwa mshtuko wa kufilisiwa nyumba na bank wakati bado alikuwa na ng'ombe zaidi ya 200 ambao babu alikuambia ni urithi toka kwa baba yako? Halafu wewe ukapewa ng'ombe 200 kirahisirahisi na babu na ukawauza wote siku moja!
 

Mkuu kwa nini umeniwahi? Hapo nilikuwa nataka kuanza napo, anyway mtunzi umejitahidi ila ulisahau kumpelekea mhariri
 
Kwa sababu bado unaendelea kungonoka nae,unaonyesha bado hujutii madhara uliyoyapata baada ya hilo tendo,kwa kuwa hujutii,laanakhum inakuhusu mkuu
 
Kama habari ni ya kweli..
Njia moja ya kujinasua, ni kuweka jambo hilo wazi kwa mama yenu.. from their u can move on.. other wise dada yako anachukulia huo usiri kuendeleza huo upuzi..kama ana kublack mail vile.

Mweke mbali sana na wifi zake.. as anapata wivu.
 
jamaa mmoja mvuta bangi alikuwa akilala na dada yake chumba kimoja hko manzese, siku moja akalewa sana bangi na mipombe akamkamata dada yake akampiga pipe, dada yake alilia sana na asubuhi alimkata shingo jamaa akiwa usingizini. Ila kama mmeanza toka utotoni kuna kuwa na mahusiano mazito maana kuna undugu na mapenzi kwa pamoja
 
kama wewe ni mkristo nenda kanisa la kilokole muone mchungaji mueleze ukweli atafanya maombi ya kukutenga na hiyo hali na utapata mafundisho ya kukusaidia

Kwa nini aende kanisa la kilokole. Wachungaji wenyewe matapeli tu. Nafikiri solution ni kukaa chini na dada yake waongee
 
Hakimu ni Mungu, sisi sote wakosaji. Kama ni laana au baraka ajuae yeye. La maana songambele!
^^

Hiyo ni laana hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa.
Kumwambia mtu kitu fulani sio sawa haimaanishi unamhukumu.
Alichofanya si sawa na lazima kikemewe hata kama wanadamu tuna makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…