Nilimwambia atakufa akafa kweli

Usifurahie sana inabidi ujichunge sana na mdpmo wako si ajabu Siku moja ukanena yakakurudia usijitape hadi kuandika mitandaoni.
Kwa nchi zenye vyombo vya usalama makini, ukisema mtu atakufa katika mazingira kama hayo halafu akafa hivyo unaweza kuingia matatani kama vile ulijua kitu au kupanga kitu fulani cha zaidi, hata kama ulijiapiza kijumlajumla tu.

Ashukuru kwetu hatuna vyombo vya usalama vya aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…