Nilimwambia atakufa akafa kweli

Kwahiyo upo tayari akunenee sahivi ya kuwa utakufa? Hili ndio swali la msingi, huko pengine inajulikana.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Kwahiyo upo tayari akunenee sahivi ya kuwa utakufa? Hili ndio swali la msingi, huko pengine inajulikana.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
Kwamba nitakufa hata mimi najua, sasa akininenea nitakufa wakati mimi najua nitakufa atabadilisha nini?

Nani ambaye hatakufa?
 
Ulimsubiria wa nini mpaka muda wake wa kutoka baa ufike,alafu ukakubali kuondoka nae.

Ila mbele ya safari anajitambulidha kama demu wako unaogopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BTW trust me MIMI NINA MDOMO MBAYA!!! Sijivunii wala sijisifu na kwakweli kuna wakati huwa najiogopa binafsi kwakuwa hata mimi mwenyewe nikisita kufanya jambo kisha nikafosi huwa inakula kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba nitakufa hata mimi najua, sasa akininenea nitakufa wakati mimi najua nitakufa atabadilisha nini?

Nani ambaye hatakufa?
Tehehehe hehehe, pamoja na hali mgumu ya maisha kwa sasa na madeni yote iliyonayo nchi yako, bado inaonesha unaipenda pumzi yako. Umesita kabisa kutoa ridhaa ya kutamkiwa hivyo.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Dah Igongwe bar imeua sana watu hiyo kuanzia wamiliki Mr n Mrs Maganga had wateja wa enzi hizona mabar maid wengi wameondoka!
 
Tehehehe hehehe, pamoja na hali mgumu ya maisha kwa sasa na madeni yote iliyonayo nchi yako, bado inaonesha unaipenda pumzi yako. Umesita kabisa kutoa ridhaa ya kutamkiwa hivyo.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
Natoa ridhaa, ushafurahi?

Hujajibu swali langu. Nani hatakufa?

Hali ngumu ya nchi yangu hainihusu. I am actually embarassed by how much money I make while people are screaming hali ngumu.

Ijumaa tu nimetengeneza faida ya $3,800. That is US dollars. Kwa hela zenu za madafu huko, kwa exchange rate ya leo bongo hiyo ni Tanzanian shillings 8,512,000.

Hiyo ni faida niliyoongeza kwa siku moja. Si msingi, si faida ya mwaka. Ni faida ya siku moja tu.

Na nina uwezo wa kupiga hata mara tano ya hiyo hela kwa siku.

Sasa kama wewe umekwama na hali ngumu ya huko kwenu niombe mkopo tu.

Usifikiri kila mtu ana hali ngumu.
 
BTW trust me MIMI NINA MDOMO MBAYA!!! Sijivunii wala sijisifu na kwakweli kuna wakati huwa najiogopa binafsi kwakuwa hata mimi mwenyewe nikisita kufanya jambo kisha nikafosi huwa inakula kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa naona anakwepesha goli tu, Mi namuliza kama yupo tayari atamkiwe anaishia kuruka ruka ruski.

Mkuu, count to ten, before you talk, Go easy with our sisters, our mothers, our daughters we all come through them, it is important to treat them with respect. You are smart guy you will be just fine, but put yourself in their shoes sometimes. You will will find that they have different objectives which are valid.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] tugawane faida boss you are the next bill GATES

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], umeguswa kidogo umepovuka yote haya. Dalili tosha haupo salama katika hizo USD.
Panic at your own risk.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Jamaa naona anakwepesha goli tu, Mi namuliza kama yupo tayari atamkiwe anaishia kuruka ruka ruski.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
Nmeandika nipo tayari hapo juu.

Unajua kusoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…