Huu ni unabii subiri utimieMkuu mwambie Bashite na Pombe, ili tuhepukane na hili timbwili, miaka 2 iliyobaki, tumeanza kuiona ni kama karne nzima. We are fucked up.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Inshallah...!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utani mwingine haufai kabisa aiseee
Hata yule nanilihu mliepishanaga kule pm jamani??[emoji53][emoji53][emoji53]
Kwani bado yuko hai? [emoji35] [emoji35] [emoji35]Hata yule nanilihu mliepishanaga kule pm jamani??[emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Rahisisha story tu, mwambie akwambie utakufa ijulikane, kuliko kujificha huko kwenye hizo tamathali za semi.Kila mtu atakufa.
Kwa hiyo ukimwambia mtu atakufa hujatabiri lolote.
Unless unamtajia siku ya kufa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rahisisha story tu, mwambie akwambie utakufa ijulikane, kuliko kujificha huko kwenye hizo tamathali za semi.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Akiniambia nitakufa atakuwa hajatabiri chochote kwa sababu hata mimi najua nitakufa na kila mtu mwenye akili anajua atakufa.Rahisisha story tu, mwambie akwambie utakufa ijulikane, kuliko kujificha huko kwenye hizo tamathali za semi.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Kwa hasira nikamwambia kama kweli una mimba yangu mimi nitakufa ila kama hata kama unasema uongo na hatufahamiani kabisa basi utakufa! Alikaa mahabusu Ijumaa ile mpaka jumatatu nilipoenda kufuta kesi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji144] [emoji276] Msata kilingenimshana jr upo gereza gani sasa ukiwa unasimulia haya?