Nilimtongoza akanikataa, ila bado ananitafuta

Nilimtongoza akanikataa, ila bado ananitafuta

Huwezi jua alikuepusha na nn ushauri wangu achana nae jus do ur biz
 
Ukiona hivyo, ujue huko amepigwa chini ndio maana amekuja kwako.
Huyo kaa nae mita mia huenda hata kapigwa mimba na mshikaji kakataa. Kwahiyo anakutafuta ili akubebeshe mzigo. Na akikupata tu lazima kete ya kwanza lazima akupe mzigo. Na baada ya wiki atakuambia haoni siku zake, mwisho wa siku anakuambia ana mimba
Kazi ni kwako
 
ukiona fala kapendwa jua kuna mjanja kaachwa(in stamina verse
 
Mlie buyu,,mi kuna mchaga ,,namlingia vibaya sasa hivi,,,Magu kaleta heshima sana hapa mjini,,naona Shilling inapanda thamani sasa,,na wanaume pia,,Linga mpaka akate tamaa na yeye ndo ,,uje update tena wewe,,Mi siku hizi na pesa za guest anatoa yeye japo mchaga,,et,,atakuja olewa,,,,namtesa mbaya, siowi NGO?
 
*UFALA NI KUKOMAA NA DEMU GETO UNAMCHEZEA NYWELE UMPE STIMU* KUMBE KAVAA WIGI
 
Hili swali ungewauliza watoto wa kike. .mwanaume nitakuambia utafune tuu..
 
Wakuu kwema?

Nilimtongoza huyu binti akanikataa na kunitamkia maneno ya kuniumiza moyo, mimi nikampotezea, kaanza mwenyewe kunitafuta tena anataka nini kwangu hivi?

ulichokuwa unakitaka kwake now yupo tayari jimegee
 
Back
Top Bottom