Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Usihofu, hauko peke yako. Hata vijana wengi wanaoikimbilia chadema hawana sababu na kuna siku wataichukia bila sababu pia...
Lakini ukweli 2005 alionekana mwana mapinduzi pamoja na kauli za matumaini, huwezi kumlaumu mtu aliyempigia kura ila ubovu wake umekuja kuonekana baadae.ww ni moja kati ya watu waliolisababishia taifa hili janga 2005, nakumbuka mwaka 2005 nilivyogombana na watu wengi sana kipindi cha kampeni na leo wanakubali ww.
Hapo penye RED ni kweli au kusingiziana tu mkuu??
Hapo penye RED ni kweli au kusingiziana tu mkuu??
Kweli kabisa mkuu!!Ilikuwa mipasho full kama kwenye taarabu
Nilimshitukia sana huyu jamaa na rafiki zangu wengi niliwaonya lakini hawakutaka kunisikiliza na wote wanajuta sana.
Bila shaka 2015 hawatafanya kosa hili tena.
Mwaka 2005 nilimshabikia sana JK hadi nikaona nchi mpya imezaliwa ila sikuwa na sababu za msingi maana alikuwa hana record yeyote ya kufanya mambo makubwa kwa nchi. Ilikuwa sio mimi tu maana wengi hawakuwa na sababu za kumpenda sana 2005. Mwaka 2010 nilimchukia sana hadi sasa hata picha yake nikiiona inanikera sana. Nikiwasha TV nikimkuta anazungumza nabadilisha haraka. Hanivutii tena hata kidogo. Sio mimi tu watu wengi sana wamchukia JK ila ukiwauliza hawana sababu za msingi.
Swali ni je, kuna ukweli kuwa umaarufu wake ulikuwa cosmetic na nguvu yake inapungua? Siamini mambo hayo ila inawezekana kuna ukweli. Enjoy your weekend guys!
Hiyo inaitwa chuki binafsi,kumchukia mtu bila sababu,na ni tabia ya kishetani hiyo.mtu hajakukosea unamchukia tu.kweli wewe ni bange
chezeiya msoga weye?? Uchawi wao kiboko! Aliturogaje sasa????jamaa alipiga juju nchi nzima wampende. Sasa juju limeisha!
aliona mbali! Alistahili pongezi!hivi yule jamaa aliyetaka kumshusha jk mwanza yupo wapi, mi nahisi yule tupaswa kumhoji vizuri