WORLD WAR 5
JF-Expert Member
- Aug 28, 2021
- 507
- 978
huu si mwandiko wa Grace kbs.?
sema watoto wa wachungaji huwa wana shida sana.
sema watoto wa wachungaji huwa wana shida sana.
🤣🤣🤣shenzee,Hahaha mwenyewe nimeokota sampuli ya hivyo nikishaichakata tu naikacha maana hata akiandika na struggle kuelewa. Ngoja anaandika 'goja'.
Ila pisi kiaina.View attachment 2535833
Eeh sini life tu 🤣😀😀matomaso kumbe bado wapo
Basi wacha tukamwagilie moyoEeh sini life tu 🤣
Hayo ndio maneno, after party is the after party.... FIESTAAAA😀😀😀😀
Basi wacha tukamwagilie moyo
Hahhahahaaa nisamehewe kwa kucheka jamani...🤣🤣🤣🤣🤣
EwaaaaHayo ndio maneno, after party is the after party.... FIESTAAAA
uxniite xabbu ntkaxrka..! Na unjua nknun xpndez, mxiiieeeewUxjali, xitakuit mutoto ten😂
Basi mie mtu akiniita hizo 'my' huwa simuelewi, huwa tunataniana na Darlin hiyo ya 'my wangu'..!!My wangu relax
Huku mjini my my ndio zimejaaa
Kama nick name ya chap chap
🤣🤣
🤣🤣🤣 akienda hosp yule HARUDI..atapewa🛏💉💊Hahah akiibuka tu hapa, mimi namsamizia kwako vile umecheka sana
My tajiri tulia 🤣Basi mie mtu akiniita hizo 'my' huwa simuelewi, huwa tunataniana na Darlin hiyo ya 'my wangu'..!!
Kuna watu wako serious kabisa eti 'kwn nimkxea wp xx my wangu'..? Huwa natamani niwaue..!!😂
Mkuu hebu acha kulea wajinga kama hao fukuza mara moja..
ngapi ngapi ?Hayo ndio maneno, after party is the after party.... FIESTAAAA
Xx kwnn uchkie my wang😆😆😆Basi mie mtu akiniita hizo 'my' huwa simuelewi, huwa tunataniana na Darlin hiyo ya 'my wangu'..!!
Kuna watu wako serious kabisa eti 'kwn nimkxea wp xx my wangu'..? Huwa natamani niwaue..!!😂
Old is gold Mac 😁😁
Huku kwetu bado tunatumia my
Huko mjini mmeacha kabisa?
Kwema kabisa my..
Vipi kwako na my wako ?
Acha utoto wa kujichatisha, ushakuwa mtu mzima wewe.