National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,197
Usiogope mpenzii, unajua kabisa bila wewe maisha yangu hayana maana, wewe ndio unaefanya dunia na uhai wangu viwe na maana 😊😊Haya mahaba mbona mengi hivo mpaka naogopa😆😆
Usiogope mpenzii, unajua kabisa bila wewe maisha yangu hayana maana, wewe ndio unaefanya dunia na uhai wangu viwe na maana 😊😊Haya mahaba mbona mengi hivo mpaka naogopa😆😆


Tutakuwa tumekujua tunakaa mbali na wewe!Afu akishanitaja wewe utafaidika na nini?

Mpaka hapa alishashindwa usikiri uoga na hofuAtanimalizia kabisaa namuhofia
Darlin , story yangu na Unique Flower nitakupea siku tukiwa wawili🤣Babuuuu jf nzima si utaimaliza hii😆😆
Kumbe hadi mna storyyyDarlin , story yangu na Unique Flower nitakupea siku tukiwa wawili🤣
Bibi amekaa kwa utulivu huko analea wajukuuKumbe hadi mna storyyy
Babuuu babuuuuu khaaaaabibi anajua haya



🤗🤗 Furaha yangu na roho yangu, tumaini la maisha yangu ndio wewe mama unae tunza uhai na maisha yangu, nijidai mie kuwa na weweAww 🥰
Carleen dada yangu njoo uone mahaba ya shemeji yako
Halafu babu uko jf unahangaika na wajukuu wakuite daddy😆😆😆Bibi amekaa kwa utulivu huko analea wajukuu![]()
Aaiiiiiiiiii wambiee mpenzi wangu wajue jaman🥰🥰🥰ukizidisha mahaba hivi nakuekea bango lako pale posta🤗🤗 Furaha yangu na roho yangu, tumaini la maisha yangu ndio wewe mama unae tunza uhai na maisha yangu, nijidai mie kuwa na wewe
🤗🤗 nitakupenda mpaka pumzi yangu ya mwisho. Maana ni wewe pekee ulie fanya dunia iwe na maana kwangu, bila wewe hakuna maana yoyoteAaiiiiiiiiii wambiee mpenzi wangu wajue jaman🥰🥰🥰ukizidisha mahaba hivi nakuekea bango lako pale posta
Halafu babu uko jf unahangaika na wajukuu wakuite daddy![]()

eeeh kina Darlin, huenda nikajihisi bado damu ya moto!Kweli mtaje!🤣🤣🤣 mtaje tu hamna namna
😆😆😆Akhuuuu mie sihusikieeeh kina Darlin, huenda nikajihisi bado damu ya moto!
Eeeh, naendelea kumuweka Unique Flower vizuri hapa, naamini mda sio mrefu ataanza kuniita daddyAkhuuuu mie sihusiki
Labla wew na mtoa mada



Kaza hivo hivo mzee wangu