KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
Hapana mkuu mimi sio muhusika,ila ukiona jamaa anafanya hayo basis ujue chanzo ninyinyi.Hakuna play boy yeyote ambae hajawahi kuumizwa.Ukiona hivo basi ujue kuna sehemu alipenda akapindukia lakini mwisho wasiku akaumizwa,na haoni umuhimu wa mahusiano yeyote.Jambo la msingi namuonea huruma tu asije akavunja sheria akafungwa.Unaongea kama wewe ndiye muhusika vile
Huko ni tarime siyo dar wanawake wenyewe shule zao ndo hivyo tena walishaaminishwa mwanaume ni mungu kwao[emoji115] [emoji23][emoji23] [emoji23]!!.........Wanawake wa Dar ni noma,sisi huku kwetu Tarime mwanamke kwenda polisi ni mwiko kabisa!
Sikuzote usihamishe kosa la mwingine na kumuhukumu mtu mwingine..na pia kama unaona wanawake wote hawafai yaani kutaka mahusiano nao tena?Hapana mkuu mimi sio muhusika,ila ukiona jamaa anafanya hayo basis ujue chanzo ninyinyi.Hakuna play boy yeyote ambae hajawahi kuumizwa.Ukiona hivo basi ujue kuna sehemu alipenda akapindukia lakini mwisho wasiku akaumizwa,na haoni umuhimu wa mahusiano yeyote.Jambo la msingi namuonea huruma tu asije akavunja sheria akafungwa.
Yameshanikuta haya,wapo tuliowatendea wema tukifikiri watakuja kuwa wake zetu lakini malipo yao hata shetani anayoogopa.
Btw pole mkuu.
Shida inaweza kuwa si kuchepuka, mtu umemfumania tena hata hakusumbuka kukutaka radhi na bado anakutishia kukuua, sijui lakini ila kwangu mimi si mtu mwema huyo.Mkuu mi mi na swali wewe hujawahi kuchepuka kweli?
ila mtu ambae alishakupa dyudyu na ukaenjoy kumfunga siyo vizuri buana!Huko ni tarime siyo dar wanawake wenyewe shule zao ndo hivyo tena walishaaminishwa mwanaume ni mungu kwao
Iko hivyo mkuu lakini kila mtu ananjia zakutoa machungu yake.Nikisoma katikati ya mistari nagundua kuwa wewe bado unampenda jamaa.Cha msingi mkae nae muangalie namna gani mtayamaliza matatizo yenu,utakimbia mahusiano mpaka lini?.Wanaume asilimia kubwa sio waaminifu lazima ulitambue hilo kesho yatakukuta hayahaya utakapoenda kuanzisha mahusiano.Cha msingi kama atajutia makosa yake umsamehe or uamue kumuacha huku ukimainsha kutoka moyoni na akilini.Sikuzote usihamishe kosa la mwingine na kumuhukumu mtu mwingine..na pia kama unaona wanawake wote hawafai yaani kutaka mahusiano nao tena?
Wewe acha upumbIko hivyo mkuu lakini kila mtu ananjia zakutoa machungu yake.Nikisoma katikati ya mistari nagundua kuwa wewe bado unampenda jamaa.Cha msingi mkae nae muangalie namna gani mtayamaliza matatizo yenu,utakimbia mahusiano mpaka lini?.Wanaume asilimia kubwa sio waaminifu lazima ulitambue hilo kesho yatakukuta hayahaya utakapoenda kuanzisha mahusiano.Cha msingi kama atajutia makosa yake umsamehe or uamue kumuacha huku ukimainsha kutoka moyoni na akilini.
Ila mie binafsi siwaoneagi huruma mabinti wakiumizwa maana wao wakiumiza nizaidi ya binadamu bora wanaume huwa tuna utu kidogo ila nyie nihatari sana aisee.
Sawa mkuu[emoji1] [emoji1] .Hata wewe unaweza chukua nafasi yangu..