Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,460
Najiuliza tu baada ya shughuli sasa sijui anamuuliza mwanae vipi ilikuaje?Ulienjoy mwanangu au akitoka mle chumbani mama anaongea nae nini?Hyo mama atakua wa uswahilini.
Uswazi kuna mengi mama!
Ulitaka akae miaka mingapi ndio awe mchumba?Nyie ndio mnawakalishaga wadada miaka na miaka wakitokea wenye nia wanawaolewa wachumba zenu.Yaani miezi tisa ushamwita mchumba na kumtambulisha kwa wazazi?!
Hapo lazima jamaa alikuingia kwa gia ya kukuoa fasta nawe ukaingia mkenge.
Chukua hilo kama funzo na achana nae huyo hakufai kabisa
Haha huko huko zinapatikana fursa[emoji12]Dude must have a hella game. Bangin' the daughter, her mama on the lookout? Can't beat that.
Anyway, elyza tuna group letu whats app tunakutana wahanga wa mapenzi kama wewe, tunashauriana na kufarijiana. Karibu.
Jamani huyo mwanaume wako si mzima inawezekana kati ya wale wanne yeye ndio mmoja wapo.Haiingii akilini mtu ufumaniwe halafu wewe tena utake kuua.
Ila na wamama sisi tuna tabia mbaya sana sasa huyo mama mwenye nyumba anabariki kabisa mwanae kubanduliwa humo humo ndani ilihali anajua mkaka ana mchumba mbali na hilo yeye ndio anakuwa mlinzi wao aiseeee kweli ni shidaaa
Na kweli nimeaminiAdui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake
Don't pretend to be a smart ass..Yaani miezi tisa ushamwita mchumba na kumtambulisha kwa wazazi?!
Hapo lazima jamaa alikuingia kwa gia ya kukuoa fasta nawe ukaingia mkenge.
Chukua hilo kama funzo na achana nae huyo hakufai kabisa
Una maana gani labda, wee hilo waliona dogo, ingelikuwa ni wewe ungefanyeje?Vitu vidogo vidogo kama hivi huwa vinavuruga sana wadada.
Sijui kwa nini.
UKIMWI je?Haya mama tafuta huyo wa peke yako......
Ushaambiwa mwanaume ni kama baba ntilie, mwiko mmoja vyungu vingi.
Jambo la msingi ungemuuliza tu " Honey mwiko umeuosha? "
Kama ndio nae uutumie zako na maisha yangeendelea.
Haya tafuta wa peke yako uone kama halija kuchwea
Inasikitisha sana ndo mama zetu sasa sijui sisi watoto tutakuwaje analinda kabisaJamani huyo mwanaume wako si mzima inawezekana kati ya wale wanne yeye ndio mmoja wapo.Haiingii akilini mtu ufumaniwe halafu wewe tena utake kuua.
Ila na wamama sisi tuna tabia mbaya sana sasa huyo mama mwenye nyumba anabariki kabisa mwanae kubanduliwa humo humo ndani ilihali anajua mkaka ana mchumba mbali na hilo yeye ndio anakuwa mlinzi wao aiseeee kweli ni shidaaa