Nilimfuma Ticha na Padre!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilimfuma Ticha na Padre!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Dec 13, 2010.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mamboz vipi wana JF!!!
  Hivi majuzi wakati nipo kwenye graduation ya 4m4 kwenye ukumbi maarufu the Rocky City nilichoka kucheza muziki nikaamua kupumzika ndani ya kibanda kimoja wapo!
  Wakati naingia nilish2ka kumkuta TICHA wangu wa English na PADRE wa kanisa takatifu wakinywa na kupigana makiss motomoto!
  Nilibaki nimepigwa butwaa nikaitwa kujumuika na kupewa mshiko wa maana ninyamaze kimya!!!
  Ingekuwa wewe unge2nza siri??!!
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  acha umbea, weka picha tuone kama ni kweli ilitokea....vnginevy itakuwa ni hisia zako tu hizo..au unataka kumzushia mwalim wako...
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  WE M'MBEA, UNASTAHILI KUPIGWA MAWE!! Asa hela ya huyo nani sijui ulichukuwa ya nini na si ulikubali kuwa hutasema? LIONE
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sasa mbona umeshindwa kutunza siri za watu...!?
  Itakusaidia nini ukiitoa adharani, si bora ungewanasihi.
  Sasa unafikiria nani atakuamini!? Na ushahidi huna.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Acha ushankupe - Mambo ya watu unafuatilia ya nini?
   
 6. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kumbuka ukimstiri mwenzio na wewe utastirika hukuwa na haja ya kutoa siri hiyo!
   
 7. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nafsi imenisuta imeniwia vigumu ku2nza siri!!

   
 8. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Utawajua 2 wazinzi na wanao support madudu kama haya!!!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Udaku tu...
  Hebu nenda kacheze kiduku kule
   
 10. M

  MZEE SERENGETI JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hapo unauliza Makofi Polisi
   
 11. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naogopa kumwaga ushahidi hadharani coz ya huyo Ticha wangu dats y naomba ushauri 2!!
   
 12. L

  Lady G JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmh ss hapa utachangia nn. Kaazi kwlkwl
   
 13. Muro

  Muro Senior Member

  #13
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angekuwa mkeo/mumeo au mama/baba yako ungesemaje?.Wacha uchuro huo:embarrassed:
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Ni utoto tu, akikua ataacha!
  Hii kitu [​IMG] inapatikana Darfur kiongozi....
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  pole sana kaka
  sinto kujibu vibaya ila ninachoo mba kusema ni
  walimu na mapadre ni watu ambao tunawategemea sana katika jamii yetuu..
  labda nikweli uliona hivyo mimi sijui ...
  lakini cha kufanya usije waambia watu ambao wanamjua huyo mwalimu na haswa haswa watu ambao wanamjua huyo padree...
  kwanza watu wengi hawatakuamini na watako kuamini utakuwa umewavunjia uhusiano wao na hao watu muhimu kwenye jamii yetu..

  samahini kwa maneno mengi ...AD
   
 16. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hujui hata kusoma au kosa si lako!!! Umeona sehemu gani iliyoandikwa kuchungulia???!!!!
  Ndo problem ya miji2 kama hii, inaonekana unapenda sana hayo mambo,I have to find ur wife nimdu kwanza!!
   
 17. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks dada kwa ushauri mzuri MUNGU akujaalie kwa busara zako!!
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  ur most welcome...
   
 19. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks Afro!
   
 20. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #20
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ushauri gani unao utafuta, wakubandika picha zao wakia utupu au...!?
   
Loading...