Nilimfata Manara na sasa namfuata Harmonize

Mtu akitaka kubisha juu ya hiki ulichoandika, atatakiwa atutajie kitu chochote kile ambacho Harmo ame-ongeza tangu atoke kwa wanyonyaji (hâta kimoja tu).
sure mkuu.........ukicheki kiuhalisia harmonize wa sasa sio yule wa miaka miwili iliyopita kimafanikio.............now days anazidi kupotea kwenye mziki wa kimataifa..........but kwa taanzania....kidogo ana survive
 
Huyu jamaa ni vile tu vile vijisent vili mbeba tu,ila KWA Sasa nyimbo nyingi ni local sana nafikiri kakosa watu wa kumshika mkono na ushauri wa nyimbo na video za kwenda kimataifa KWA Sasa,Nyimbo zake nyingi Sasa anazirudia na analenga Zaid soko la ndani,sasa hapa ndani kwenyewe uteam kibao,angelenga nje Zaid kama alivyoanza mwanzo Basi show za nje angepata nyingi na ndo zimempa hela sana Diamond na ndo Mana mpaka leo diamond anasaka sana collabo.

Pia kajiachia mwili sana mpaka anashindwa kuburudisha jukwaani,pia team aliyonayo KWA Sasa inahitaji matumiz na malipo ambayo hayaendani na mapato na Ukizingatia yeye ni CEO KWA Sasa,hivyo iwe chumvi nyanya hata Unga team yake inategemea mfuko wake,Hapo anazid kuchanganyika na kukumbuka 600Million alizotoa.

KWA Sasa cha kumsaidia tu ni apunguze team hyo,Kisha ajijenge awe na pesa na kurudi kama Zamani,Team yake nzima KWA Sasa hamisaidii kabisa ktk music yake.

Aache kuwaza pia 600million maana ile ni company aliyoilipa,inalipa kodi ina wafanyakazi,imewekeza n.k yeye anaamini amemlipa diamond 60% akasahau ni kampuni ilosajiliwa,ina watu,ina gharama ya uendeshaji na inalipa kodi.

Wasanii wetu pia wafundishwe elimu ndogo kama hizi za makampuni WAACHE utoto wa kuona umenyonywa wakati watu wanaekeza
i hope kweli wamelipa kodi. mamiziki mengine haya ya kishetani yanawapotezea muda mnashindwa hata kumtafuta Mungu, shetani anawapumbazia muhangaike nayo weeee mje kustuka mmekufa mpo jehanum au dunia ndio imeisha au ameshawafunga kifungo cha maisha. Rudini kwa Mungu kwa Njia ya Yesu Kristo, achaneni na hayo mafreemasons. watu wanatambiana mauchawi na ninyi bado mnapoteza muda kuwaweka kichwani?
 
Swala la kujua mziki nimeanza kuufatilia Mwaka gani na swali nililokuuliza haviendani kabisa.Tuzungumzie ya Harmonize na WCB ambayo ni ya juzijuzi hapa (2015- present) .

Nimekuomba unitajie wimbo wa Harmo uliohit zaidi ya Kwangwaru ambao alimshirikisha mnyonyaji wake. Taja mziki mmoja tu unaoufikiria.
Mang'dakiwe...niache useraa
 
Ila harmonize alikuwa anatoa nyimbo nzuri sana akiwa Wasafi.. sijui amepatwa na nini siku hizi? Sijui ni producer wabovu, au amekosa ile competition iliyomsaidia kujituma zaidi? Angekuwa smart angeanza kuwekeza kwenye sector zingine. Hata Diamond nae siku hizi anatoa nyimbo utopolo mtupu 🚮🚮🚮
 
Nawasalimu JF kwa salamu ya Hi Five...GOOD!

Niende kwenye point.

Ninaweza kusema naongozwa sana na hisia zang tu (Emotion), hata akili natumia pia., na kwa bahati mbaya sana sikuwa mshabiki kindaki ndaki wa mpira. Ila kutokana na ushawishi wa rafiki yangu nilijikuta naipenda simba na kuimba nyimbo za Pira Biriani, pira sambusa, WIDA N.K. Kitendo cha Manara kufanyiwa figisu na kuhamia Yanga basi na mimi nikamfata.

Ndio najua na leo Namungo wametupa kichapo ila bado ntabaki huku. Huyu mtu niliona ana kipaji kikubwa sana cha ushawishi mpaka akanifanya mimi nikapenda Mpira. Mechi ya simba ilipokuwa ikicheza nilikuwa napata kinywaji changu kwa furaha iliyopita kifani mana mwisho wa siku ubingwa ulikuwa kwa simba tu.

Nilimfata baada ya kuona kuna binti kavamia utawala ilihali uwezo hawezi kuwa nao kama wa Manara. So nilipokutana na clip za Manara kulia kwenye mitandao kwa kufanyiwa hujuma, ikaniuma sana nami nikamfata alipo sasa. Najua kuna povu hapa. Kila mtu na afate hisia zake bwana. Twende kwa Diamond Plutnum na Harmonize..

Nilimkubali sana Diamond kutokana na historia yake chungu sana aliyopitia katika maisha. Hata nyimbo zake zilionyesha kuwa jamaa alikutana na ugumu wa maisha ikampelekea kufanya biashara za kawaida sana ili kujikimu kimaisha.

Ugumu wa maisha haukumzuia moyo wake kupenda wale aliohisi wanaweza kuwa pamoja. Matokea yake walimkimbia kwa kuwa hakuwa na hadhi ya kuwa nao kwa kipindi hicho. Kwa kifupi Diamondi Mungu kampa kipaji kikubwa sana hapa Duniani.

Ila sasa kwa hiki kilichotokea kwa Harmonize kimeanza kunirudisha nyuma mpaka nianze kufikiria ule uhusiano wa Diamondi na Baba yake........

Itaendelea
Sisi tunaojielewa tunashabikia timu na kuipigania hadi kufa. Hakuna shabiki wa kweli anaejitambua anamshabikia kiongozi au mfanyakazi wa timu.

Kweli wewe ni maandazi kwelikkweli. Tena unapoteza muda wako unathubutu kuandika umehama.

Manara akiacha kazi Yanga , akaajiriwa na GSM kuuza magodoro utakuwa shabiki wa magodoro chapa GSm bila shaka.

Zuzu kweli wewe.
 
Back
Top Bottom