Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Buraza Mentor habari za kwako bana
Nimeipenda sana na umefikisha ujumbe vyema sana mkuu
Kaka shemeji mzima wewe imekumiss sana ujue
licha ya kukimbia, kuna ile mna have unprotected sex ilhali mkijua none of you ana malengo ya kuishi na mwenzake (mara nyingi mmoja wenu ndo anakuwa anafahamu fika kuwa hana malengo yoyote na mwenzie). NDiyo utalea mtoto but multiple families ni challenge sana annabrenda . been there n in there...not an easy stuff!!!
True, it's not easy, lakini unavyomwachia mwenzako jukumu lote si mzigo mara mbili? ilihali makosa mmefanya nyote wawili?
Hadithi nzuri
ina mafunzo
asomae na afahamu
Nakubaliana na wewe 100%. Alichokifanya baba hakikuwa kizuri. Cha kusikitisha hivyo ndivyo vijana wengi hufanya siku hizi. Sijui ni ugumu wa maisha au uoga tu wa kuwa mwanaume...it's disappointing kwa kweli!
Huo ni uoga wa kuwa mwanaume rafiki, ugumu wa maisha ni wa pande zote mbili tena mara nyingi huwa kwa mwanamke zaidi still mtu anamkimbia. Ukiona mwanaume anakimbia majukumu ujue he is not man enough..
Na mimi nimeipenda hiyoAtii! "Mtoto wako na mtoto wangu wamempiga mtoto wetu" haha yani maisha haya...basi tuu!
Sent from JamiiForums
annabrenda, tuombe dua watakaosoma niliyoyapitia wataguswa kujiepusha na mimba wasizozipanga! Ila hata nyie kina dada kwa asilimia kubwa mnachangia kupewa mimba msiyoitaka/isiyotarajiwa. I tend to believe jukumu la kwanza la kujikinga na mimba zisizotarajiwa ni la kwenu!Huo ni uoga wa kuwa mwanaume rafiki, ugumu wa maisha ni wa pande zote mbili tena mara nyingi huwa kwa mwanamke zaidi still mtu anamkimbia. Ukiona mwanaume anakimbia majukumu ujue he is not man enough..
Na mimi nimeipenda hiyo
namanyele & Gemmy it's no laughing matter. Hayo yanatokea. Nashukuru mimi na ndugu zangu tuliheshimiana sana. 'Baba wa nyumbani' alitulea vyema sana. Ila msipolelewa vyema mtajikuta mnadundana kila siku na mara nyingi victim atakuwa yule wa wote!!!Hahahah! Eti baba Mentor mtoto wako na mtoto wangu wamempiga mtoto wetu safii ujumbe mzuri kaka!
annabrenda, tuombe dua watakaosoma niliyoyapitia wataguswa kujiepusha na mimba wasizozipanga! Ila hata nyie kina dada kwa asilimia kubwa mnachangia kupewa mimba msiyoitaka/isiyotarajiwa. I tend to believe jukumu la kwanza la kujikinga na mimba zisizotarajiwa ni la kwenu!
Usione soo...sema naye!
Ni kweli ila vizuri mwanaume akiwa anamkumbusha mwenzie ili achukue tahadhari manake kuna kujisahau hasa penzi likikolea.
Ni kweli ila vizuri mwanaume akiwa anamkumbusha mwenzie ili achukue tahadhari manake kuna kujisahau hasa penzi likikolea.
annabrenda, tuombe dua watakaosoma niliyoyapitia wataguswa kujiepusha na mimba wasizozipanga! Ila hata nyie kina dada kwa asilimia kubwa mnachangia kupewa mimba msiyoitaka/isiyotarajiwa. I tend to believe jukumu la kwanza la kujikinga na mimba zisizotarajiwa ni la kwenu!
Usione soo...sema naye!
namanyele & Gemmy it's no laughing matter. Hayo yanatokea. Nashukuru mimi na ndugu zangu tuliheshimiana sana. 'Baba wa nyumbani' alitulea vyema sana. Ila msipolelewa vyema mtajikuta mnadundana kila siku na mara nyingi victim atakuwa yule wa wote!!!
#say-no-to-unplanned-pregnancies