Nililelewa na baba wawili

Nililelewa na baba wawili

aisee story na riwaya zimeashaanza kuja maana tulizimiss hapa jukwaani
hongera kwa story yenye mafunzo na yenye kusisimua kiasi hichi mkuu
 
heeee jamani kumbe bestito ndo nakuona hapa hapa nimekumiss ile mbaya

bora ulimwengu wetu umeanza kuonekana hapa kwa upya maana
tulikwenda kupanda mimea ila mvua ndo zinaleta mgomo sasa
Mzima kaka nimo nasubiri mvua nipandemo mazao ya kukuletea mjini
 
Honestly speaking, i appreaciate what u usually write mkuu and am glad i had the opportunity of meeting you pale escape 1. Ujumbe mzuri, stori nzuri as usual.
 
Back
Top Bottom