Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa Wizara husika zinaongozwa na ma-Professor! Mimi huwa najiuliza sisi watanzania huwa tunaenda shule hadi kufikia uprofessor kwa ajili ya nini?Shule zetu tulizosoma zinatisha ni hivi karibuni zitakuwa magofu. Serikali haitoi hata senti tano kwa ajili ya maintanace ya shule hizo. Hii yote inatokana na donor dependence syndrome tuliyojijengea tunasubiri wafadhili, wawekezaji wakati hela ambayo tunayo tutumia kupuyanga nje ya nchi na kununulia Matoyota vx, nyumba za mawaziri na magavana wamabenki.
Can anyone imagine toka mradi wa Danida wa school maintanance project ulivyokwisha shule zinaendeshwa bila matenegenezo hata kidogo. Last year nilipata nafasi ya kutembelea shule nilizosoma A level na O level. Najaribu kuzipost nashindwa zikiwa posted hapa ni aibu naomba hii thread iendelezwe kwa yoyote mwenye picha ya shule aliyosoma enzi hizo ili tuone madudu na maajabu.
Halafu matokeo yakitoka mabaya serikali inajiuliza wakati jibu ni wazi kabisa. Watanzania tuna nini.
Mkuu wa nchi badala ya kutembelea shule hizi aone madudu na uozo na aweke mikakati nini kifanyike yeye anaenda kufungua shule ya mtu binafsi sijui inaitwa Savvanah something ambayo ada yake mtanzania wa kawaida ataisikia tu kwenye gazeti.
Hakielimu ya wakati huo ilikuwa sawa na matangazo yake ya KAYUMBA this is KAYUMBALISATION of the education system in the country.

Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa Wizara husika zinaongozwa na ma-Professor! Mimi huwa najiuliza sisi watanzania huwa tunaenda shule hadi kufikia uprofessor kwa ajili ya nini?
shule za primary zinasikitisha zaidi maana ziko mjini hazina fensi vibaka wanaingia wafanya wanachotaka mle wakati mwingine hata madawati huibiwa kwenda kuuzia vitu. Professor kakaa kwenye kiyoyozi tu! Ufisadi huu unaweza kuwa mbaya kuliko wa akina Richmond!
Uoga na maslahi ndio tatizo. Hope mmenipataKinachonisikitisha zaidi ni kuwa Wizara husika zinaongozwa na ma-Professor! Mimi huwa najiuliza sisi watanzania huwa tunaenda shule hadi kufikia uprofessor kwa ajili ya nini?
so what d'you need? go and paste u'r old feelings and lets did what is the nextMAFUNZO:
INAUMIZA MACHO! huh!
Mkuu hata bajeti ya chai tu ikaachwa ifanye kazi hii kwa miaka mitatu mabadiliko lazima yataonekana.Bila watanzania kubadilika ki-mtazamo na kujali zaidi ukarabati........ni sawa na kazi bure. Ukiangalia vyuo na ofisi za wenzetu huku ng'ambo yaani matengenezo/ukarabati wa majengo na vifaa vingine ni kila mwaka lakini kwa Tanzania unakuta bajeti kubwa ni ya matumizi ya mkuu wa idara/sehemu na ukiuliza hela za matengenezo unaambiwa hakuna pesa lakini magari ya wakubwa yote hayawezi kukosa pesa ya mafuta kwa mwakak mzima.