Huyu ni mwanamke? Mbona kama dumeMtotom akichezea infinix yangu mpya....View attachment 1975345
Mmmh hayo mazingira yanatisha aseeGheto jipya hilo sio mkuu??..hahaha
Usisahau tu ndomu mkuu
Mmmh hayo mazingira yanatisha asee
Ningekuwa mimi nisingeanza na kumbato K, ningetengeneza geto langu kwanza liwe kali mweeh
Teh teh teh teh...😂😂...hii kali haaa haaaa...😂😂😂Aseee kweli nimeamini watanzania wengi ni tunaumwa japo twajiona tuko na utimamu
...Makamanda wengi hukumbuka hili baadae sana...japo ni muhimu kuanza nalo.Hahahah anatakiwa acheze kama pele! Kwa tabu nilizopitia ningeanza na kuwekeza kwanza aisee very soon as possible!