Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,524
- 70,357
Kweli asee acha ale maisha mbaya ni kuwa anaweza kuja kusanuka too late.Jamaa baada ya msoto kaotea mchongo anakula kwa kalamu sahizi 😂 acha atoe wenge kwanza
Kweli asee acha ale maisha mbaya ni kuwa anaweza kuja kusanuka too late.Jamaa baada ya msoto kaotea mchongo anakula kwa kalamu sahizi 😂 acha atoe wenge kwanza
Hahahah anatakiwa acheze kama pele! Kwa tabu nilizopitia ningeanza na kuwekeza kwanza aisee very soon as possible!Kweli asee acha ale maisha mbaya ni kuwa anaweza kuja kusanuka too late.
Jf masingo mama na magraduates hawna salamaTunasubiria uzi wa kuwaponda Graduates kuwa hawana akili hawachangamkii fursa maana mishahara ikishafika mitatu tayari mnajionaga mmekuwa Said Salim Bhakresa
Huwa haipo hivyo. Kwanza akili za ujana zinamtuma kuwa kutokana na kuteseka sana na kukataliwa na wanawake kisa hana hela ndio muda sasa wa kuwachakata, kwakuwa hakuwa na dough na aliishi kwa mizinga basi ndio muda wa kula maisha kila bar ataijua na kila club atakesha.Hahahah anatakiwa acheze kama pele! Kwa tabu nilizopitia ningeanza na kuwekeza kwanza aisee very soon as possible!
Acha mkuu kunipa laana...nataka mademu wenye mashape buffalo mwendo kama hawakanyagi chiniHuwa haipo hivyo. Kwanza akili za ujana zinamtuma kuwa kutokana na kuteseka sana na kukataliwa na wanawake kisa hana hela ndio muda sasa wa kuwachakata, kwakuwa hakuwa na dough na aliishi kwa mizinga basi ndio muda wa kula maisha kila bar ataijua na kila club atakesha.
Mjini tena kutembelea kalio ndio ufahari hapo kashasema atachukua boom ili na yeye atembelee kali. Akishamiliki chuma ndio basi imeisha hiyo ni kula bata tu na mamanzi wa kila aina.
Siku anapewa barua ya kusimamishwa kazi ndio alarm inapiga kwa fujo
Mtotom akichezea infinix yangu mpya....Mkuu leta updates basi..leo tunasubiri update mbili tu..moja kutoka Arusha kwa General Sabaya na nyingine ya kwako..
Mtoto amekubali hiyo 10k?
Gheto jipya hilo sio mkuu??..hahahaMtotom akichezea infinix yangu mpya....View attachment 1975345
Aisee hiyo elfu 10 ndo umeiona hela nyingi?Zamani kipindi nimepigika nilikuwa kutwa kulalamika jinsi Serikali imetubania ajira na jinsi mademu zetu wanavyotuomba hela wakati utamu tunapata wote nikawaga VIP wa chaputa.ila baada ya kushika pesa na kushauriwa na ndugu yangu Darmian nisiwe mbahili kama kweli nataka tobo nikaufanyia kazi ushauri wake.aisee kweli bhana hio mbinu kumbe inafanya kazi kwa asilimia zote..maneno mengi ya Nini wewe weka dau lako bila kuhonga utachokwa mapema sana. Evelyn Salt kuanzia sasa nakuunga mkono tuwapeni hela mtupe nyama hio tuchetuke kidogo.Jamani mdogo wenu Niko makini nawaahidi nitatumia mpira kwa kila tendo sitaki habari za kuambiwa sijui mimba nilee mtoto sitaki hizo.sitaki majukumu yoyote naona tu raha ndani ya sofa kwa chini iwepo pesa 200000,ukienda kwenye mto hukosi 170000..m pesa 310000,,halopesa 100000....NMB 600000 Raha sana.prostate cancer byebye.
Nawaacha na wimbo wa skales ft Konde boy -oyoyo
View attachment 1975141
View attachment 1975172
AiseeMtotom akichezea infinix yangu mpya....View attachment 1975345
AiseeAmechafukwa na mwenyeweView attachment 1975174
Kumbe mimi nahonga sana, wewe unawapa ten tu?Jana nimempa na juz nimempa sema yule mtoto kwa mauno Yale acha nimpe tu ten kuliko kwa Malaya wa 4000 AMBAO ukichelewesha bao wanakuwa wakorofi
Hakun introvert humu