Nilikuwa wapi Mimi kushika hela kumbe dunia ni tamu namna hii

Nishateseka sana.acha Nile maisha kdg kaka nikitoboa 35 ndo sasa nianze kuwa na wasiwasi Ila kwaneema nitajenga ndani ya miaka mitatu
Daah nakutamani sana mwanangu mm bado nipo kwenye lindi la umasikini ingawa siku nikitoka bata yangu ni kula vizuri kile nitakachotaka kwa muda huo na si mademu. Mademu nawapiga kama kawaida ingawa sina kitu.
 
Mkuu asikwambie mtu raha sana kuwa na hela
Asubuh ndizi mchemsho wenye kuku na maji makubwa lita moja na nusu,mchana ubwabwa maharage ya Nazi mchicha na samaki..usiku samaki wa kukaanga bia na matunda fruit mixer..kesho yake mapema asubuh unapiga rost la maini huku ukiendelea kutengenza dodoso la posho kwa safari husika...
 
🤔
 
Daaah watu mnavituko humu jf, mm nikajua unahonga parefu kumbe bado unatoa hiyo Bei !! Kwa vyovyote vile bado unawala wale wale akina Amina ndala ndefu ingawa hao ndio watamu haswa kuliko Hawa wapiga vizinga vya kuanzia Bei ya 100k kupanda juu sema wana mwonekano wa kisuperstar Ila Kaz kawaida Sana tu ,so mwanangu nakuunga mkono komaa na hao hao wa hiyo Bei
 
Mrejesho
Screenshot_20211015-135136.jpg
 
Daa kipindi nina miaka 23 nilipataga katempo fulani nilikuwa napiga hela sana plus marupurupu

Daah sikufichi nilikuwa natomba sio poa mwanamke hanibabaishi nilikuwa nafurahi sana kuwagonganisha halafu hapo naamua ngumi mara wakwaruzane na makucha wavutane nywele ilikuwa balaa

Sikai na **** moja ndani ya wiki ilikuwa balaa sema nilikuwa natumia mpira

Aisee ugonjwa wa Feruzi ningeukwaa

Baadaye niliona sio sifa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
daah dunia hii rahaaaa sana. Sasa mkuu wewe beseshee ndama halafu unaanza kulialia bei vipi tena.
Mzee tulia Kuna watu wako viwandani huko na hawaipati hio 10000 kwasiku....ye zoezi la kuumizwa dakika 10 tu Aforce maslahi mazuri wakati akitoka ndege anaingia Fred Kisha anaingia omary
 
Daa kipindi nina miaka 23 nilipataga katempo fulani nilikuwa napiga hela sana plus marupurupu

Daah sikufichi nilikuwa natomba sio poa mwanamke hanibabaishi nilikuwa nafurahi sana kuwagonganisha halafu hapo naamua ngumi mara wakwaruzane na makucha wavutane nywele ilikuwa balaa

Sikai na **** moja ndani ya wiki ilikuwa balaa sema nilikuwa natumia mpira

Aisee ugonjwa wa Feruzi ningeukwaa

Baadaye niliona sio sifa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
mm ilibaki kidogo tu nilogwe nilikula mtaa mzima watoto kwa wakubwa.
 
Back
Top Bottom