mkemiamkuu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 355
- 284
unatafuta business partner au mke? shughuli ya kumuingizia kipato inahusikaje kama unataka mke? tafuta mwanamke mwenye upendo, heshima na hekima na maarifa ya kukusaidia mawazo hata kwa kipato ulichonacho anaweza kukiinua kwa mawazo, unaweza ukapata mwenye kipato hana discipline katika matumizi utajuta
Nimekupenda bure, nipe gwala