Nilikuwa siamini kama unaweza pata mwenza JF

Nilikuwa siamini kama unaweza pata mwenza JF

watanzania bwana waliopo mtandaoni ndo waliopo mtaani sasa nini tofauti,kama unahisi anaweza kuwa na tabia mbaya kuna mda wa uchumba utamuona,ni ngumu mtu ake fake mwaka tabia yake.
Mbna nchi za wenzetu kuna makambuni kabisa ya kukutanisha watu na ndoa zao zinadumu


Naamini mahusiano huzaliwa popote panaweza kukutanisha watu.
 
Unapata mke/mme JF, then baada ya ndoa unaendelea na surfing JF. Kama mmoja wenu ana roho nyepesi ndoa inaweza ota mabawa


Siyo sababu wala kikwazo, hiyo ni tabia ya mtu binafsi hata kama mngekutana mbinguni. Ndiyo maana matatizo ya ndao yapo hata kwa walio kutana kanisan.
 
Nimemwambia awe makini, only that.. Pia nishashuhudia rafk yang na uhusiano wa mtu wa mtandaon miaka miwil na kilichomtokea ni historia,, cjasema haiwezekan, ila awe makini..nadhan amenielewa



Asante, nimekuelewa bidada
 
Mtangulize Mungu, u never know may be mke wako hayupo huku kama mwenzako alivyopata.. Hope utafanikiwa.. Al da best
 
Namimi nikifikia wakati ntakuja kutafuta mchumba huku🙈🙈🙈😀
 
Hakuna location maalumu ambapo wachumba hukutana, kuna wengine wamewapata wenza wao barabarani,bar,guest house,sdhuleni, kwenye semina,kazini, fb,JF, etc

kila lakheri mkuu
 
Y͙a͙a͙n͙i͙ b͙a͙h͙a͙t͙i͙ y͙a͙ m͙w͙e͙n͙z͙i͙o͙ n͙a͙ w͙w͙ u͙n͙a͙i͙t͙a͙k͙a͙ s͙i͙o͙ n͙d͙o͙ w͙a͙l͙e͙ m͙w͙e͙n͙z͙a͙k͙o͙ k͙a͙o͙k͙o͙t͙a͙ h͙e͙l͙a͙ s͙h͙a͙m͙b͙a͙n͙ n͙a͙ w͙w͙ u͙n͙a͙a͙n͙z͙a͙ k͙u͙l͙i͙m͙a͙ i͙l͙i͙ u͙w͙o͙k͙o͙t͙e͙ k͙i͙l͙a͙ l͙a͙ k͙h͙e͙r͙i͙ k͙a͙k͙a͙ u͙t͙a͙f͙a͙n͙i͙k͙i͙w͙a͙
 
Naona unataka uendane na mabadiliko ya kauli mbiu ya nchi....HAPA KAZI TU....kila la kheri
 
Y͙a͙a͙n͙i͙ b͙a͙h͙a͙t͙i͙ y͙a͙ m͙w͙e͙n͙z͙i͙o͙ n͙a͙ w͙w͙ u͙n͙a͙i͙t͙a͙k͙a͙ s͙i͙o͙ n͙d͙o͙ w͙a͙l͙e͙ m͙w͙e͙n͙z͙a͙k͙o͙ k͙a͙o͙k͙o͙t͙a͙ h͙e͙l͙a͙ s͙h͙a͙m͙b͙a͙n͙ n͙a͙ w͙w͙ u͙n͙a͙a͙n͙z͙a͙ k͙u͙l͙i͙m͙a͙ i͙l͙i͙ u͙w͙o͙k͙o͙t͙e͙ k͙i͙l͙a͙ l͙a͙ k͙h͙e͙r͙i͙ k͙a͙k͙a͙ u͙t͙a͙f͙a͙n͙i͙k͙i͙w͙a͙


Asante kwa madongo
 
umri huo hujui kutafuta mke mpaka uje jf.utazeeka hujampata,nenda makanisani wadada kibao.kazini kwako je
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom