Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.

Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.

Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.

Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.

Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Nenda CUF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani wakamvuta Lowasa ambaye walimsema kama fisadi, na utetezi eti siyo yeye ni mfumo. Kisha mara tu baada ya uchaguzi CUF wakajitoa kwa mgombea mwenza kuongea shit hadharani.

Kufikia pale nikajua kujadili hata siasa ni kujichosha. So siku hizi naona hawa wote sawa tu. Vigeu geu, wanafiki, hawajui mTz wa kawaida anaishije.
Mkuu biashara inaendeleaje?
 
what if i'm a PHD?
Yanii kama wewe ni PHD duuuu!!!! Itakuwa no fedheha Sana'a kwa ma PHD holder maana ni aibu kwanzia post yako ya kwanza na majibu unayo yatoa.

Binafsi naomba kukuuliza hivi kati ya Chadema na Selasini, komu na Rwakatare alieanza kukikacha chama ninani?
Hawa kumbuka walikuwa viongozi tena vingunge kwelkweli komu kasema anahamia Nccr Selasini pia, Rwakatare akadai hagombei tena Which means anakaa bench. Sasa kwanini wawavuruge wenzao maana yote hayo kumbuka Chama kiliendelea kuwavumilia na kuacha waemdelee kwa maana kila mtu anamitazamo yake.

Silinde binafsi namshangaa sana Mbowe anawaamini sana vijana na anawapa Platform lakini wanamuangusha mnoo. Huyu dogo kunasiku atajutia maamuzi yake hapa ni swala la mudatuuu.

Kwa ujumla nikwamba mipango yao nikutaka kuvuruga misimamo ya chama na inshu hapa siyo mbowe CHADEMA ni Taasisi.

In positive way hatutakiwi kufurahia haya yanayo endelea kwenye Nchi yetu kama wasomi na watu tunao jielewaa. Tujenge demokrasia chanya na siyo maneno na figisufigisu za wazi kabisa ambazo hata watoto wetu wanatushangaa maana leo hii mtoto akikuliza yanayoendelea bungeni huwezi hata kumwelimisha maana nichanganyikeni.
 
"Nimewadhalau" baki huko huko upinzani hakukufai wanatakiwa watu makini.
Mkuu sio kweli, naanza kuamini kuwa Chadema ni watu makini Sana kwenye mambo hasa ya kutetea haki za watu, Ila ni wajinga na mazwazwa kwenye vitu na mambo ya kiongozi wao! Hata mnune ukweli ndio huo,

Ni mpumbavu na mjinga pekee anayefurahia ukandamizwaji wa haki ya mwingine, Iko wapi Democrasia ndani ya Chama makini cha Democrasia? Unamfuta mtu uanachama bila onyo na bila kumsikiliza halafu ujivunie eti Sisi ni watu makini? Bado naitafuta haki ya mtu ndani ya Baadhi ya vyama zijaiona
 
Mliosoma vishazi huwa mnatabu sana changieni mada kuhusu mwandiko mwachieni yeye
 
Yanii kama wewe ni PHD duuuu!!!! Itakuwa no fedheha Sana'a kwa ma PHD holder maana ni aibu kwanzia post yako ya kwanza na majibu unayo yatoa.

Binafsi naomba kukuuliza hivi kati ya Chadema na Selasini, komu na Rwakatare alieanza kukikacha chama ninani?
Hawa kumbuka walikuwa viongozi tena vingunge kwelkweli komu kasema anahamia Nccr Selasini pia, Rwakatare akadai hagombei tena Which means anakaa bench. Sasa kwanini wawavuruge wenzao maana yote hayo kumbuka Chama kiliendelea kuwavumilia na kuacha waemdelee kwa maana kila mtu anamitazamo yake.

Silinde binafsi namshangaa sana Mbowe anawaamini sana vijana na anawapa Platform lakini wanamuangusha mnoo. Huyu dogo kunasiku atajutia maamuzi yake hapa ni swala la mudatuuu.

Kwa ujumla nikwamba mipango yao nikutaka kuvuruga misimamo ya chama na inshu hapa siyo mbowe CHADEMA ni Taasisi.

In positive way hatutakiwi kufurahia haya yanayo endelea kwenye Nchi yetu kama wasomi na watu tunao jielewaa. Tujenge demokrasia chanya na siyo maneno na figisufigisu za wazi kabisa ambazo hata watoto wetu wanatushangaa maana leo hii mtoto akikuliza yanayoendelea bungeni huwezi hata kumwelimisha maana nichanganyikeni.
bora wewe,unaonekana mchembuzi katika 10, ni watu kama 2 au 1 wanao jielewa, chadema ni chama kizuri, lakini kwa sasa dira inapotea, chimbua undani wake na system zao, utajua ninacho maanisha! unawafahamu wakina lowasa na sumaye ndani ya chadema na si ccm?
 
Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.

Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.

Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.

Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.

Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Mimi ni una apologetic CCM member wa siku nyingi.
Vyama vya upinzani vilikuwa vinatoa challenge ya kufikirisha na kuicheck serikali na hata chama ambacho kwao kimshika madaraka.
Na mimi binafsi nilipendelea sana hoja ya katiba kuboreshwa ili checks and balances ziboreshwe.
Mwalimu Nyerere hakuwa mjinga kurasimisha uwepo wa vyama vya upinzani maana cha msingi ni kuongeza uwajibikaji kisiasa na serikali kwa wananchi kwa ujumla.

Lakini sasa huu uhuni unaofanywa na CHADEMA kwanza si endelevu wala hautaipa chadema fursa nzuri ya kisiasa.
At any rate ni kama kujivua nguo hadharani.
Mbowe asiwe na maazo kuwa yeye ndiye mwenye CHADEMA na akisemacho yeye ndiyo amri, ona sasa chama kinabaki na ma YES MEN kama kina Lema , Mde, na wengine wasio kuwa na akili nzuri.
Siasa si kumtukana kiongozi wa nchi kama hao vichaa wanaomzunguka Mbowe wanavyodhani.

Waliotimuliwa CHADEMA nao wajue kuwa huo si mwisho wao kisiasa, wana backing ya wananchi waliowachagua.
Hiyo ndio nguzo yao muhimu.
 
CHADEMA, inajidhalilisha, hata katika masuala ya kupambana na corona inaonyesha dhahili upungufu wa mwenyekiti na uelewa wa wanachama wao, ni shida, nyinyi mnajiweka karantini, alafu wabunge wengine wanaendelea kujikusanya, kama corona, bado hamjaishinda labda kuna siasa zinginezo nyuma ya pazia!
 
Umaskini unakusumbua tu binti, Mbowe ana kila kitu ambacho wewe na familia/ukoo wenu wote hamna na hamtapata mpaka mnakufa! Nyie mafisi wa kijani na baba yenu Meko mna roho mbaya hata shetani kuna kitu anajifunza kutoka kwenu!
Ana kila kitu ? Hata uzima wa milele anao ? Acha kujitekenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.

Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.

Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.

chadema ni chama chenye uchu wa madaraka, chadema wanapokea watu kutoka CCM, waje kuwa viongozi kwa vile wameshindwa kule CCM wanakuja na huku chadema kujaribu baati zao, chadema kimekuwa chama cha kuchezesha baati na sibu dhidi ya viongozi walio shindwa kutoka katika chama cha CCM, Lowasa, sumaye NK. CHADEMA ni one man fight, akishapata anawapiga chini, miaka nenda rudi, mbowe yeye pekee ndiye mwenyekiti wa chama.

Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.

Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Hoja yako ni nini hapa? Mwenyekiti kafanya nini? Hayo ni maamuzi yamefanywa na Kamati Kuu kwenye kikao cha kamati kuu. Hii hoja ya kuitwa kujieleza msingi wake ni nini pale ambapo Chadema kwenye Katiba yake imeweka kipengele ambacho kiongozi (wabunge) anaweza kufurushwa bila hata kuitwa kujieleza endapo kamati Kuu itabaini kosa lililofanywa na mhusika ninaweza kuathiri maslahi ya chama?
 
CHADEMA, inajidhalilisha, hata katika masuala ya kupambana na corona inaonyesha dhahili upungufu wa mwenyekiti na uelewa wa wanachama wao, ni shida, nyinyi mnajiweka karantini, alafu wabunge wengine wanaendelea kujikusanya, kama corona, bado hamjaishinda labda kuna siasa zinginezo nyuma ya pazia!
Unajichanganya sana..hebu nyosha maelezo yako!
 
Hoja yako ni nini hapa? Mwenyekiti kafanya nini? Hayo ni maamuzi yamefanywa na Kamati Kuu kwenye kikao cha kamati kuu. Hii hoja ya kuitwa kujieleza msingi wake ni nini pale ambapo Chadema kwenye Katiba yake imeweka kipengele ambacho kiongozi (wabunge) anaweza kufurushwa bila hata kuitwa kujieleza endapo kamati Kuu itabaini kosa lililofanywa na mhusika ninaweza kuathiri maslahi ya chama?
double standards sikuizi chama kimeanza kuwa kama ccm ya awamu ya 4.
 
Yes, anao uzima wa milele. Mliharibu shamba lake mkafikiri mtamfanya awe maskini ombaomba, mkamfukuza NHC mkiwaza kuwa mmemmaliza lakini anaendelea kudunda! Mna roho mbaya sana!
wewe mbowe anakusaidia nini? jiangalia wewe,acha utumwa!
 
Back
Top Bottom