Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Kuna ID haitaonekana humu baada ya ujio wa hii ID ya kulog off
Mkuu,mwenzako amesema alikuwa anaumwa,kwanini usimpe pole badala ya shutuma za multiple Id?
Kuna ID haitaonekana humu baada ya ujio wa hii ID ya kulog off
Habari zenu watz wenzangu natumaihamjambo na mnaliendeleza libeneke kama kawa huko mliko,binafsi nilikuwa naumwa ila kwa sasa niko bomba.Nalog off
Mkuu,mwenzako amesema alikuwa anaumwa,kwanini usimpe pole badala ya shutuma za multiple Id?
we una utani!!!yani jino tu apime vipimo vyote!!ulipimwa vipimo vyote???
nimeshapoa mkuu.Nalog offPole kuugua and back welcome.
hahahahah muulize vzuri.Nalog offwe una utani!!!yani jino tu apime vipimo vyote!!
nimeshapoa bibie.Nalog offpole sana mkuu, tunashukuru upo bomba sasa
nashukuru.Nalog offPole sana mkubwa wa ku log off!!
acha kujistukia mie sijawahi kuwa id 2 toka nazaliwa,kwanza nipe pole,ndio muungwana anaavyotakiwa.Nalog offMkuu,mwenzako amesema alikuwa anaumwa,kwanini usimpe pole badala ya shutuma za multiple Id?
na hiyo ndio maana yake.Nalog offPole sana, la muhimu una uhai.
nashukuru muungwana.Nalog offDuu! Karibu mzee wa kulog off.
hapana walikuwa wanataka wanipime mpaka mate bana! Nalog offPole sana. Ila vile vipimo ulivyohepa ni muhimu aisee.
thanks mr man,hia ai em.Nalog offBack to the place where you belong Washawasha
nashukuru mkuu,mafua yalikuwa makali mno.Nalog offPole sana mkuu,nini cha zaidi au ulitembelewa na washawasha?
nimekwishapoa kiongozi wetu.Na log offPole sana ndugu yangu.
Na log off