King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,721
- 68,730
Waisrael si ndio wametulamba Bilioni 2 na wakashindwa kumpata GOGOKI?
Teh teh teh 🤣🤣🤣...hii comment imenifurahisha aisee...haaa haaa 😃😃..Hii michezo naipenda sana nasikia Kagame Kaunda kikosi kazi cha kucheza hii michezo anasubiri siku akichokozwa alianzishe sijui kama tutamuweza sisi ambao hata website ya brela haifanyi kazi kwenye baadhi ya web browser
Hao ni waisrael wa Buza.Waisrael si ndio wametulamba Bilioni 2 na wakashindwa kumpata GOGOKI?
Jamaa ameongea utani ila unaumaTeh teh teh 🤣🤣🤣...hii comment imenifurahisha aisee...haaa haaa 😃😃..
Atakutana na mafaili ya akina kigogo tu. Tanzania haina siri sensitive kivile zilizo kwenye mifumo ya computer. Hata njiti za kibiriti tunanunua, siri labda za mipango ya akina Mahela.Hii michezo naipenda sana nasikia Kagame Kaunda kikosi kazi cha kucheza hii michezo anasubiri siku akichokozwa alianzishe sijui kama tutamuweza sisi ambao hata website ya brela haifanyi kazi kwenye baadhi ya web browser
Shida inawezekana kuwa kigogo ndio anapewa kazi ya kumfuatilia Kigogo.Waisrael si ndio wametulamba Bilioni 2 na wakashindwa kumpata GOGOKI?
Wajarbu hem waoneUsije kushangaa kuwa hizo ni figisu za Israel kutaka kupata sababu ya kuishambulia Iran.Waisrael wasikie tu mkuu.
Ndio maneno yake hana mpyaNyetanahu karudia jana kusisitiza kuwa hawezi kuiruhusu Iran kutengeneza bomu la nuclear. Mengi yanakuja.
Iran isingeweza kwenda kupiga tena kambi za US, wauaji waliomuua Fakhrizadeh hawajajisema ila ilibaki Iran kuinyooshea kidole Israel, sasa iweje Israel afanye tukio Iran akapige kambi za USA.Waarab walishaungana wote kumpiga Israel lakini wakashindwa, anajua tabia za waarab zilivyo ndio maana kanuni ni uwe rafiki yake au uwe adui. Kwenye hivi vita Israel aliteka Golan Heights za Syria, Syria bado hajakubali na amekuwa akitafuta namna ya kuzirudisha.
Kuhusu uwezo wa Iran ni overrated, kupiga makambi ya marekani haikuwa kipimo sahihi. Katika hali ya kawaida, ukimtendea mtu jambo baya (hata mtoto mdogo) lazima achukie na ikiwezekana alipe kisasi.
Marekani kumuua Qasim Suleiman ilijua wazi Iran italipiza kisasi ndio maana USA walivumilia vitendo hivyo.
Wiki iliyopita Iran ilikuwa inaadhimisha mwaka 1 tangu kuuliwa kwa Qasim na vyanzo vya habari vilionyesha Iran itashambulia tena kambi za Marekani.
Wakati huu Marekani hakutaka utani, katuma B52 mbili na Aircraft carrier moja, Iran katulia, alichokifanya ni waziri wake wa mambo ya nje Jawad Zariff kulalamika kwa nini marekani inaleta ndege ghali za vita eneo hilo.
Pili kuhusu Iran na Israel hawa ni wababe wawili, lolote laweza tokea hasa ukizingatia Israel ana mabomu ya nuclear iliyo tayari kufanya kazi.
Israel atapigwa ndani ya nusu saaMimi natamani dunia ingewaacha Israel na Iran wazichape mtu mbili Bila kuingiliwa tuone mbabe ni nani
Hii michezo naipenda sana nasikia Kagame Kaunda kikosi kazi cha kucheza hii michezo anasubiri siku akichokozwa alianzishe sijui kama tutamuweza sisi ambao hata website ya brela haifanyi kazi kwenye baadhi ya web browser