The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 1,894
- 5,468
Marekani na ulaya wanachofanya mideast ni divide and ruleWakuu, long live to you all.
Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.
View attachment 2965523
Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto kando ya uwanja wa ndege. Huku mawili yakianguka nchini Iraq (kabla hata ya kufika Israel) na kuua waarabu wenzao 2 mengine yooote yanatunguliwa. drone 300 na zote zimetunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel. Hili ndio shambulio walikua wanatangaza "litaushangaza ulimwengu" na kweli tumeshangaa.
nchini Iran kebehi na dhihaka za raia kwa mamlaka za serikali na jeshi zimezidi mpaka Iran imetishia kuwafunga wote watakao kamatwa wakikebe jeshi la nchi hiyo.
Mkuu hayo ndio makombora ya Iran, bora tuwachokoze tu eti tehee heMbona matango tena?
Uwezo unaodhani Iran wanao,hawana.Wangeuonesha.Walivurumisha mafataki.Akili ndogo haiwezi elewa alichofanya ilani, pale ameonesha tu kuwa hatishwi ndio maana alitangaza atarusha saa ngapi na yatatumia muda gani kufika, na kama uliona kuna baadhi ya nchi yalipita mpaka watu wakarekodi clips.
Wangetaka kuwashambulia walete madhara wangewaambush kama walivyolipuliwa wao ubalozini.
Lakini walifanya kutangaza kuna kitu walitaka waone na wameona, next time ukisikia wameshambulia ndio utajua kama vita ni vita mura.
Israel sio mjinga, anajua Irani kuna nyuklia ndio maana ameanza kupambana kuwekwa vikwazo kwa Iran. Unadhani kama Iran angetuma kombora za nyuklia kuzizuia kungewasaidia nini Israel? Hata leo Tanzania mkianza project ya nyuklia walio nazo watapambana kuwapinga maana wanajua hawataweza tena kuwapelekesha.Uwezo unaodhani Iran wanao,hawana.Wangeuonesha.Walivurumisha mafataki.
Iran imefanya mashambulizi kibao katika kambi za Wanajeshi wa Marekani, kituo cha Mosad pale Iraq, US base pale Jordan na yote yalileta madhara ya kutisha. Hii ya juzi ni kama waliamua kuonyesha wanaweza kurusha drones kutoka Tehran hadi Tel Aviv.Wakuu, long live to you all.
Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.
View attachment 2965523
Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto kando ya uwanja wa ndege. Huku mawili yakianguka nchini Iraq (kabla hata ya kufika Israel) na kuua waarabu wenzao 2 mengine yooote yanatunguliwa.
Drone 300 na zote zimetunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel. Hili ndio shambulio walikua wanatangaza "litaushangaza ulimwengu" na kweli tumeshangaa.
nchini Iran kebehi na dhihaka za raia kwa mamlaka za serikali na jeshi zimezidi mpaka Iran imetishia kuwafunga wote watakao kamatwa wakikebe jeshi la nchi hiyo.
Soma vizuri theories za vita. Kwenye vita yyte majeruhi wa kwanza ni UKWELI. Tafuta ukweli member mwenzanguWakuu, long live to you all.
Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.
View attachment 2965523
Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto kando ya uwanja wa ndege. Huku mawili yakianguka nchini Iraq (kabla hata ya kufika Israel) na kuua waarabu wenzao 2 mengine yooote yanatunguliwa.
Drone 300 na zote zimetunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel. Hili ndio shambulio walikua wanatangaza "litaushangaza ulimwengu" na kweli tumeshangaa.
nchini Iran kebehi na dhihaka za raia kwa mamlaka za serikali na jeshi zimezidi mpaka Iran imetishia kuwafunga wote watakao kamatwa wakikebe jeshi la nchi hiyo.
haujaelewa uzi usome tenaWakiwagonga Iran mnaanza kulia wanaonewa Islamic
Ndivyo unavyojidanganya??Uwezo unaodhani Iran wanao,hawana.Wangeuonesha.Walivurumisha mafataki.
kuonyesha wanameza kurusha drones toka Teheran mpaka wapi mkuu ?! Hakuna drone imefika Tel Aviv vyote vimetunguliwa mapema sana.Iran imefanya mashambulizi kibao katika kambi za Wanajeshi wa Marekani, kituo cha Mosad pale Iraq, US base pale Jordan na yote yalileta madhara ya kutisha. Hii ya juzi ni kama waliamua kuonyesha wanaweza kurusha drones kutoka Tehran hadi Tel Aviv.
Utakua bado umelala chama tawala cha Puerto Rico wanapenda sana kuona jamii yako mkiwa wengi...kuonyesha wanameza kurusha drones toka Teheran mpaka wapi mkuu ?! Hakuna drone imefika Tel Aviv vyote vimetunguliwa mapema sana.