NILIKULA MVUA ZA KUTOSHA CHUO...

NILIKULA MVUA ZA KUTOSHA CHUO...

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,819
Chuoni kuna maisha magumu sijawahi ona, nimechukua muda mrefu sana kumaliza chuo kwasababu ya sababu hizi;

1.UBABE, malecturer ni wababe hatari na mimi nilikuwa sipendi kabisa kuonewa, anataka anyenyekewe kama yeye ndo muumbaji hivi, nilikataa katakata..miaka kibao nilisota but mwisho wa siku ikabidi wanikubali tu nikatusua.

2.WANAWAKE WAZURI, hawa huwa wana nyodo sana maana wanatakiwa na malecturer basi mimi nilikuwa nawasemea mbovu hadi kero, tena nilikuwa nasubiri time za lunch zile ndo naenda kumshushia bint pumba za hatari sana, wapenz wao ambao ndo walimu wakisikia basi shida zinaanza but mi nilikuwa smuogopi mtu, walinipa mvua kibao tu but now ndo vile nimetusua.

3.WATOTO WA KISHUA, full nyodo, wanaringa hao haijalishi bint au msela wote wanafanana fanana ni ngumu sana kuwatofautisha.. kazi kweli kweli!! basi mi ilikuwa full kuponda alafu sichagua maneno wanaenda kuhonga huko admistration hata kikao hakuna unajikuta umekula mvua kwenye paper but kiume kiume nini nikatoboa.

ANGALIZO; kama wew ni nunda basi kuwa nunda kweli yaani usiwe muoga wa kula mvua, unaogopwa, ila kama utakuwa unaiga basi jembe utalikuta limetangulia kolomije, kuwa bwege tu yaishe.
 
Nakumbuka nikiwa third year kuna lecturer alikuwa anamfukuzia dem wangu (ambaye sasa ni mke wangu) baada ya kuona nimekaba hadi corner akamua kumpa supplimentary ili amshawishi kwa kumvujishia paper ya sap atakapoenda kufanya hiyo pepa. Mzee nilirudi chuoni kipindi cha sup wakati sina ili kumpa suport dame wangu. Yule ticha baada ya kutuona pamoja pamoja na kuwa alimwambia dem wangu amfuate amvujishie pepa akapotea mazima. Chuoni kuna changamoto nyingi kweli.
 
Kumbe tuna degree holders humu sasa mbona JF ndio inaongoza kwa kuwa na wapumbaf wengi zaidi Ya mitandao mingine
 
Kumbe tuna degree holders humu sasa mbona JF ndio inaongoza kwa kuwa na wapumbaf wengi zaidi Ya mitandao mingine
yani wewe utakua unamatatizo humo kichwani unaweza kuifananisha jf na ujinga huo
 
Duhh nikikijua chuo ulichosoma inaweza ikanisababishia dharua juu ya wahitimu wenzio naomba usikitaje.
 
Back
Top Bottom