Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Hivi skuiz ni lazima kila kitu kuweka kwenye mtandao? Au ni mimi naushamba wangu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hahaha sawa... [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

I won't say no more super dear...
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji39] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]




Mahondaw wa Smart911
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nicheke tu maana akuna namna
 
Tatizo lao wengi huwa na expectations kwamba mpaka umekubali kutoka nae mambo tayari levooooo akaanza kukupimia lol![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aibu yake mwenyeweeeee





Mahondaw wa Smart911


Pia wakijua uko single wanadhani uko desperate
 
Hajakukula mumy?
 
Mara ya kwanza unakataa, ya pili pia Kwani tatizo ni nani?? Ati yeye au weye?

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…