[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenikumbusha juzi mtu kanihubiria nna maongezi tukutane tuongee, zaidi ya mwezi nkaona isiwe tabu nikamwambia ntakuwa na muda siku flani ila tukae sehemu ambayo sio baa ilojaa Walevi
Maajabu ya Farao anipigia nikamuuliza ni wapi nikufuate maana siko home kanitajia bonge la lodge na keshalipia. ' nkamuambia tunaendaje kuzungumzia chumbani? Yuko kule kuna kila kitu utakacho utapata mama! Sikupokea simu yake tena. Kesho yake nikamwambia kuna mtu alikuambia mimi ni changudoa? Basi ungetuma hela yangu kabisa Jipu wewe
Wanaume bwana!! Na hapo kaoa, ingekuwa hujui kuwa kaoa asingekubali kama kaoa. Sijui kwanini huwa wanazikana ndoa zao, visingizio vyao sasa vinachekesha kwakweli.
Sasa mbona umekuja kumsemelea JF...Baada ya miaka kibao eti tuendeleze tulipoishia.
MtaalamuTatizo naye alikuwa na pupa akashindwa kufuata protocol elekezi,angekuwa ni mimi ungelika tu tena kwa hiyari yako mwenyewe.Kwanza angeacha siku ya kwanza ipite,huwezi mla mwanamke anayejielewa siku ya kwanza tena gesti,siku ya kwanza ni ya kufamiliarise,kusoshalize,kumfanya mdada awe komfotabo na wewe,alafu unaomba apointment nyengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio akakupasua au umenuna nini sasa bibie, jamaa alipiga jukebox au?Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.

Iwe lesson kwa wengine ukikutana na ex anaweza kuliamsha dude
Ofcourse hili nalikubali kwa asilimia zote, maswala ya mariah carey na yule ***** kwenye kideo cha "touch my body" hayana nafasi nikiwa na ke!Hakunaga urafiki kati ya mtt wa kike na kiume.. You either give him or move out of his way
Avatar zinatuchanganyaga mno, pia kauli za mtu zinaweza kukujengea picha flani hivi kichwani kuwa mtu huyo huenda atakuwa na attributes flani!wew umejuaje kama huyo ni mzuri?
Wanawake bwana hahaaa,asingetafuta chumba guest ungemdharau tena,jamaa katimiza wajib wake kiumeniHuyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Umeongea la mbolea sana, yaani Kuna watu wanawaza ngono tu.yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?
Huu mfumo utakuchelewesha sana mkuu, mleta mada ameshasema ndo mpenz wake wa kwanza.... kwahyo walikuwa hawaend kufanya kitu kigen kias cha kuanza kumtengeneza awe comfortable, kwahyo kumranda siku hyo hyo ilikuwa inawezekana.Tatizo naye alikuwa na pupa akashindwa kufuata protocol elekezi,angekuwa ni mimi ungelika tu tena kwa hiyari yako mwenyewe.Kwanza angeacha siku ya kwanza ipite,huwezi mla mwanamke anayejielewa siku ya kwanza tena gesti,siku ya kwanza ni ya kufamiliarise,kusoshalize,kumfanya mdada awe komfotabo na wewe,alafu unaomba apointment nyengine
Sent using Jamii Forums mobile app