Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

Wadau nilikuwa lecture ndo nimetoka saiv. Ila nitawajibu wote
 
Wanatafuta sifa hovyo hao story atoe mwingine ila wao kuweka masahihisho wamuache amalizie, halafu huyo anayesema lami ilikuwepo unaweza kuta alipo yeye anatimuliwa vumbi tu ila kujitutumua kama wale wanao pita pita kuomba teuzi
Huyo anaongelea barabara moja inayounganisha Mwanza, Mara na Kenya ila vijijini hakuna cha Rami wala nini
 
Mkuu ulijuwaje kama umekata roho?na nini kikitokea ukajihisi umekata roho?pia anayekufa hata kimazingaza anakuwa pembeni ya mwili ...iweje uweze kumkonyeza mwalimu wako?nini kilitokea?
Nilikuwa nawacheki watu wakilia kwa machungu sana hasa wakikumbuka jinsi nilivyokuwa mtukutu Yani muongeaji sana mchapa kaz walikuwa wanazimia tu
 
Nilikuwa nawacheki watu wakilia kwa machungu sana hasa wakikumbuka jinsi nilivyokuwa mtukutu Yani muongeaji sana mchapa kaz walikuwa wanazimia tu
Hebu nieleze ulipokuwa unakata roho uliona nn?na ulihisi nn ukaona sasa umeshakata roho
 
Ha haaaa, nimecheka sanaaa
 
Mbona unatoa mfano ambao ni irrelevant, yeye amesema alitoka Tar mjini na sio huko unakokusema, kwanza kutoka kwa Gachuma kwenda Kirumi sio Tarime.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Wapi nimeandika KIRUMI
 
Afu watu mnajua nmetunga, hii n true story na ni ndefu sema nimechoka kuandika ila ina matukio sana bado humo ndani kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi ya kufunga bangi mafungu mafungu nimeirukaa
 
Pole sana kijana mwenzangu! Mimi nilikuwa shuhuda wako pale trm na mwaka 2017 nilishangaa kukutana na ww advance kweli ulipitia magumu sana
 
Pole sana kijana mwenzangu! Mimi nilikuwa shuhuda wako pale trm na mwaka 2017 nilishangaa kukutana na ww advance kweli ulipitia magumu sana
Duh! Siku hizi uko wap mkuu
 
We jamaa bana

Anyway poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…