Nilikua VITANI sasa nimerudi.....Tusalimiane

Nilikua VITANI sasa nimerudi.....Tusalimiane

haa,nilifikiri umetoka somalia,kulinda amani,lakn powa yote kheri,huko kwenye mapambano ya kiroho ulikuwa unapambana na nani?
 
Barikiwa ila kumbuka vita bado kubwa hivyo nakuombea kushinda zaidi ya kushinda[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom