Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,553
- 9,718
Naomba unipe darasa kuanzia mwanzo hadi mwisho wanaanzia kiasi gani kuwekaNikushauri kitu.
Kama hujajua au hujapata bado Biashara ya kufanya na hiyo pesa nenda kawekeze UTT Ni mifuko ya serikali ya uwekezaji. Kuliko kuweka bank au kuwa nayo mkononi huku ukiila kidogo kidogo, weka UTT iwe inazaa mdogo mdogo huku ukifikiria Cha kufanya. Na hata ukipata Biashara ya kufanya usitumie pesa yote.
Mimi baba yangu tangu nikiwa shule ya msingi nasoma amekua ananiwekea kiakiba kidogo kidogo UTT kwaajili ya kusoma badala ya kuweka bank tu haizai. Imenisaidia imempunguzia stress kipindi nasoma.
Sasa naikontro mwenyewe nawekeza mwenyewe mdogo mdogo.
Ni salama na uwekezaji wake wa uhakika na rahisi kuwekeza na kutoa pesa yako pindi unapoihitaji .
Naomba unipe darasa kuanzia mwanzo hadi mwisho wanaanzia kiasi gani kuweka
Okay . Sasa nashindwa kuelekeza hapa maana wana mifuko ya uwekezaji tofauti tofauti.Naomba unipe darasa kuanzia mwanzo hadi mwisho wanaanzia kiasi gani kuweka
Acha uchoyo mwanaume. Weww sema mzee aliweka shs ngapi na kwa mda gani ikaongezeka shs ngapi ili tujueOkay.
Okay . Sasa nashindwa kuelekeza hapa maana wana mifuko ya uwekezaji tofauti tofauti.
Sasa basi kwa kukusaidia nakuandikia namba zao hapa kupiga Ni free
0754 800544 / 0754 800455
0715 800554/0715 800455
0782 800455
Kama uko Dar es salaam makao makuu yapo jengo la sukari house Posta mtaa wa sokoine na Ohio
Au peruzi kwenye website yao hii Kama Kuna maelezo yatakayokutosheleza www.uttamis.co.tz
Mengine ni too privacy. Licha ya kukuelezea kadiri alivyoweza bado umemuita mchoyo!!Acha uchoyo mwanaume. Weww sema mzee aliweka shs ngapi na kwa mda gani ikaongezeka shs ngapi ili tujue
Yaani elezea wewe km wewe. Ili tuone.
Wewe kweli Mr Confidential. Kwako wewe kila kitu kitakua confidential/private. Sawa lakiniMengine ni too privacy. Licha ya kukuelezea kadiri alivyoweza bado umemuita mchoyo!!
Heri walimaharage kuliko walimwengu!!