kichwaones
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 399
- 49
nzuri-nzuri
Tena una pua ndefu kama sambusa
Mi nataka kuuliza yaani huko kuzimu wamemfundisha alenge makanisa tu na ulokole huu huu ulioanzishwa na marekani?? au kuna propaganda hapo ya kujipigia debe ili mpate wafuasi wengi muwaibie hela zao kwa michango na sadaka na kuwaponda wapinzani wenu??!! mtawadanganya hao hao mazombi mi hamnipati ng'o!! Mi nashindwa kuelewa mantiki ya dini za kilokole siku hizi kila mtu nabii mara mtume kama si laana ya mungu hii ni nini??kila hadithi ya uchawi au ushirikina utakayosoma mwisho utasikia tu aliyemaliza tatizo mchungaji fulani ya kweli haya ?! au na hao wachungaji siyo wachawi kweli wanaotumia nguvu za majini?? mana ukristo wa kwanza ni ukatoliki na mbaka inafika miaka ya 60's mambo haya ya kuponya watu yalikuwa hayapo lakini ilipokuja tu dini ya marekani(ulokole) tukaanza kusikia nabii fulani kampona fulani!! hivi ni kweli taifa hili hili la kimasoni linaloongozwa na The Devil Himself likatoa kitu cha baraka kweli kinachookoa watu waende peponi??!!! WALLAH nawaaambia ninyi mnaotoa na kusapoti kufuru hii kwa ALLAH mtakuwa kuni na manabii na mitume yenu ya uongo itakuwa mikaa.kwa hiyo hii hadithi yako mlilenga kumwongezea wafuasi nabii bazazi laanatullah annahuh askofu nabii nicolaus sugueye??hata mkikataa dini ya kweli ni moja tu na mungu ni mmoja tu na yesu ni mtumishi wa mungu tu ambaye hajafikia hata hilo daraja la muhammad(saw) ambaye ndiye nabii na mtume wa mwisho wa ALLAH SUBHANAH WA TAHALAH,haao woote watakaofuata baada yake ni manabii lakini wa UWONGO!!.
Samahani lakini, hapo mwisho. Kwani Yesu na Muhammad nani amemzidi mwenzie umri? I mean nani kazaliwa baada ya mwenziwe?:bowl:

swali zuri ndugu yangu king'asti kama umeuliza kwa nia ya kutaka kujua utajua lakini kama umeuliza kwa ufedhuli wa kinafiki hautahambulia chochote utabaki na giza lako.yesu alizaliwa miaka 500 kabla ya mtume na alipoondoka ilipita miaka 500 ndio akaja mtume.tofauti iliopo ni kwamba yesu alikuwa nabii aliyeaidiwa spesho kwa wayahudi na nabii wa mwisho toka kwa watoto wa is'haq,na aliletwa kwa ajili ya kondoo wa nyumba ya israil tu,muhammad ndiye nabii wa mwisho wa Allah Subhana wa tahalah na aliletwa toka ukoo wa ismail mtoto mkubwa wa nabii ibrahim,na ni yeye muhammad aliyeletwa kwa ajili ya dunia yote kwa sabab yeye ndie nabii yule wa ahadi mungu aliyemwahidi ibrahim baada ya ismail kukubali kutaka kuchinjwa wakatui akiwa na umri wa miaka 7 na kwa wakati huo alikuwa ndio mtoto pekee wa abraham,ndipo mungu akamwambia mtoe mtoto wako wa pekee uliye naye ukamchinje naye akakubali na mtoto naye akakubali ndipo mungu akamwahidi ibrahim ukoo wake utakavyokuwa mkubwa na namna is'mail atakavyobarikiwa na ktk uzao wake atazaliwa mwokozi wa ulimwengu wote yaani muhammad(saw).sijui umenipata muhammad alikuja mwisho baada ya issa yeye akafunga mlango wa mitume na manabii,yeyote atakaekuja baada ya muhammad na kujiita nabii au mtume basi atakuwa mtume lakini wa uwongo nao mtume alishatabiri watakuja lakini si kwa jina lake bali la yesu na yesu alishatabiri "watakuja manabii wengi baadaya muhammad lakini watakuwa wa uwongo lakini jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba manabii na mitume hao watakuja kwa jina langu,ni kwa sababu hiyo basi mungu ataniadhibu siku nitakayotoka duniani sitakwenda peponi bali nitaishia mbingu ya kwanza,sabab ya watu kuniita mimi mungu,laiti kama isingekuwa hivyo siku nayoondoka duniani ningekwenda moja kwa moja peponi,lakini sabab watu wameniita mungu nimeadhibiwa kukaa mbingu ya 1 hadi wakati wangu utakapofika nitarudi tena duniani kuja kuwakana wale wanaoniita mimi ni mungu"

TAKRIBANI wiki tatu nilikuwa nafuatilia mkasa wa dada Easter Deo. Hakika mkasa huo ulinigusa sana nami nikashawishika kusimulia yaliyonikuta katika maisha yangu.
Naamini kuwa kuna baadhi ya watu hawakuamini mkasa wa dada Easter kama ni wa kweli ama ulikuwa ni wa kutunga.
Ninachoamini ni hiki, uchungu wa maumivu ya ugonjwa ama majeraha yoyote huwa anayasikia mhusika lakini si mtu mwingine. Kwa jina naitwa Steven Frances Soso, ni mwenyeji wa Morogoro Wilaya ya Ifakara.
Nimezaliwa katika familia ya wacha Mungu. Baba yangu mzee Frances Kasela Soso ni Mchungaji wa Kanisa la Living Word Pentecost lililopo Ifakara.
Nilikuwa na hali ya kuwa naumwa mara kwa mara. Pamoja na kwamba baba yangu ni mchungaji, binafsi sikukubaliana na masuala ya ulokole kwani niliona kama ni shida kwangu.
Baba yangu alikuwa anafanya taratibu za kuniandaa kuwa mchungaji hapo baadaye. Alikuwa karibu na mimi na alikuwa ananielekeza mambo mbalimbali yanayohusiana na uchungaji.
Kitendo hicho nilikiona kama mzigo kwangu nikaamua kuondoka na kwenda kupanga chumba Ifakara mjini.
Nikiwa hapo, nilimpata rafiki yangu ambaye sitapenda kutaja jina lake. Rafiki huyo alikuwa msaada mkubwa kwangu.
Tatizo la kuugua mara kwa mara lilionekana kuwa la kawaida. Nilikuwa naumwa kichwa, hali iliyokuwa inanifanya niwe nalia kila kukicha kutokana na maumivu makali niliyokuwa nayapata.
Kila nikienda kupima madaktari hawakuona kitu chochote.
Hali hiyo ilinitesa kwa muda mrefu. Rafiki yangu alinishawishi kwenda kwa waganga wa jadi kwa ajili ya kupata tiba zaidi.
Nilipofika kwa mganga huyo sehemu inayoitwa Ipangalala, alitukaribisha kwa furaha.
Alipoanza matibabu aliniambia kuwa, sisumbuliwi na kitu chochote bali nina mapepo ya kiganga hivyo nalitakiwa nifuate masharti yote ili niwe salama.
Nilianza kupata matibabu kwa ajili ya kuondoa mapepo hayo.
Niliambiwa nikanunue ubani ili niweke ndani ya chumba nilichofikia kwa mganga huyo. Hali yangu niliona kuwa na mabadiliko makubwa.
Itaendelea