Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,970
- 27,520
kweli kila mtu anapitia mengi kwenye ndoa kuna fundi ujenzi mmoja alikua analalamika mke wake jamaa akitoka job tuh anamkuta mke wake yuko na kanga moja anampokea mwiko,makobiro n.k hakuna kuoga wala nini ni kimoja kwanza ndio mambo ya kula na kazini unaendelea vipi yaetaendelea