Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,584
Kuna wanawake siku hizi kama maroboti tu, hayana hamu lakini yana wivu hatari.Ila mwanamke ambaye hatoi at least mara mbili Kwa wiki hiyo nayo ni kukosa heshima kutojali hisia za mwanaume wako na kutomdhamini.Siongelei wiki za siku za Period.