Nilijua ukioa unapewa kila siku

Nilijua ukioa unapewa kila siku

Za weekend guys,

Niende kwenye mada wenye ndoa mbona wanateseka sana yaani unaoa then kupewa mbususu unaanza kuomba tena mara hadi umpe vizawadi sasa mtu unaolewa ili iweje?
Mapenzi ni pesa ndugu wewe huna pesa ndio maana mwanamke anakufanyia hivyo inaonekana huna hela ya mpangishia nyumba mchepuko
 
Vuta mtoto <25 😃 itakuwa ww tu kutwa ×3 wanapenda hao 😁
Haya kama mambo ya shule, unatamani umalize uwe unalala tu, .. sasa mtiti wake unamalizia unalala siku mbili tatu mood inakata ndio kama ndoa.. before unakuwa na mcheche ila ukishajipigia wiki nzima non stop unaona mwenyewe mawazo ya awali ya kupiga kila siku udwanzi
 
Back
Top Bottom