Nilijua ana danga na bado nikawa nae

Nilijua ana danga na bado nikawa nae

Hakuna mwanaume mpumbavu wa kukubali kwenda kusoma upuuzi na ajira hakuna na ada mlipa ada ni demu wake.

The idea that studying and graduating is primarily about getting a job is a common one, and it is rooted in the fact that many people see education as a means to an end. In other words, people often view education as a way to acquire the skills and knowledge needed to secure a good job and build a successful career. While this is certainly one important aspect of education, it is not the only one.

Education is also about personal growth and development. It can help you develop critical thinking skills, improve your communication abilities, and broaden your perspective on the world. It can also help you develop a sense of purpose and meaning in life, and provide you with the tools you need to make a positive impact on the world around you.

While getting a job is an important part of building a successful life, it is not the only measure of success. By focusing on personal growth and development, you can build a fulfilling and meaningful life, regardless of your career path. Surya
 
Ok

Wewe ni mwanaume pambana angalia namna utafanya huko uwe unapiga kazi yoyote upate kitu ,, wakati huo ukiendelea na chuo usijali vyakawaida tu mwamba ,, alimradi upo hai komaaa mpka mwisho ,,,

N.B kwa namna yoyote usije ukaacha chuo ,, na ikatokea ukaacha usirudi nyuma huku komaa huko huko ,, utatoboa tu mbona

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Huko india anatoboaje Kwa Mfanoo..
 
The idea that studying and graduating is primarily about getting a job is a common one, and it is rooted in the fact that many people see education as a means to an end. In other words, people often view education as a way to acquire the skills and knowledge needed to secure a good job and build a successful career. While this is certainly one important aspect of education, it is not the only one.

Education is also about personal growth and development. It can help you develop critical thinking skills, improve your communication abilities, and broaden your perspective on the world. It can also help you develop a sense of purpose and meaning in life, and provide you with the tools you need to make a positive impact on the world around you.

While getting a job is an important part of building a successful life, it is not the only measure of success. By focusing on personal growth and development, you can build a fulfilling and meaningful life, regardless of your career path. Surya
kupenda kwako kusoma ndio uje utuambie kwamba hatima ya Maisha na elimu yako ipo kwa Mwanamke Kahaba ?????
you can't be seriously
Siisemi Elimu vibaya, mfano mimi nimejaribu kiasi chake Kuwa mtu mwenye Knowledge na vitu vingi..
Nimesoma medicine, ICT acha hiyo yako IT, and now Theology.
Kuwa College ni vizuri but for a right time.

Your life way is going wrong
 
Sure.conclusion ni nini..? Surya
 
Umehatarisha sana usalama wa nchi yako na usalama wako wewe mwenyewe kwa kumhifadhi mtu wa taifa jingine usiyejua kazi zake kwenye nchi yako.
 
Pamoja na kuona Eva alichomfanyia adamu kwenye bustani ya edeni lakini wanaume hatuelewi......sijui nani aliyetuloga
 
Hapo Bila shaka alishajua biashara na Wewe Ni biashara kichaa,

kapata mwanaume mwenye pesa zake anahudumia na kutoa ulichokua unampa

Hapo ndo utajua habar za mapenz ya kweli
Kutoka kwa mwanamke Ni myth, wanawake wanapenda pesa
 
Apo mbona naona Wewe ndo ulikua unadanga, unaishi kwa jasho la mwanamke[emoji4]
 
Hamna kosa kubwa kwa mtoto wa kiume kama kutegemea hela ya mwanamke,hela ya mwanamke hutakiwi kuipigia mahesabu kama chuo ungesoma hata huku Tz,huku ukiendelea na kazi yako.Sasa huko hata hela ya nauli huna.
Jamaa kafeli pakubwa mno,
Ila Bora kaleta hadharan,linaweza kua funzo kwa vijana wanaowategemea wanawake
 
When the deal is too good think twice....

kosa la kwanza ulimtegemea mwanamke (Unpredictable creature [emoji317]...

Ok mwanaume hashindwi jambo ila baki huko huko licha ya kuwa India napo kuna masikini wengi tena zaidi ya bongo ila wavivu komaa
India pa hovyo sn,Kuna umaskini wa ajabu maeneo mengine Unaweza hisi Burundi kua nafuu
 
Kuna jimama umu linadai lipo eastern london lina pesa,magari na biashara kasema anataka mwanaume yeyote hasa jobless waoane then akaendeshe hiyo miradi yake.

Unaonaje ukipiga hilo deal napo?
 
Pesa ya ukahaba haijawahi kumuachaa mtu salama
Habari za humu familia kubwa ya wana Jf:

Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu mwaka 2016 nilikutana na dada nikiwa nafanya mazoezi ufukweni (coco-beach) tuka share mawili matatu hakuwa na simu lakini akaomba namba yangu nimtajie then atanipigia.

Yule dada kweli baada ya week alipiga simu na akaja kwangu na hapo penzi jipya likazaliwa na kipindi hicho nilikua kwenye ajira kampuni X hapo dar, mpenzi wangu yeye hakuwa na kazi na isitoshe hakuwa mtanzania kabisa ni mtu kutoka Africa ya kati kaingia kama mkimbizi tu.

Sikuwa na budi kuanza life mpya na yule dada na akaomba tufanye mchakato apate uraia na kweli tume pigana kapata uraia lakini kwa ubini wa majina yangu na hapo sasa nikajua alivyo zaidi.
Kwanza akasema yeye anadanga lakini na wazungu amabao hawapo Tanzania na wana mpatia pesa ya kutosha na kweli 1m au 3m kwa mwezi zilikuwa zinatumwa kwake na kadai kama nitakuwa mwelewa tufanye maisha na kazi niache kwa madai mshahara ni mdogo ambayo nilikuwa napata kama 400k kwa mwezi.
Kazi nimeacha kununua gari tena kwa majina yangu nikawa naendesha uber na bolt nikawa napata 60k kwa siku sio mbaya biashara ikiwa mbovu sana sikosi 30k faida.
Nime fanya ile kazi kama mwaka akasema hii kazi pia haikulipi mwaka 2021 akasema unatakiwa uende chuo sasa lakini nje ya nchi kutokana na matokeo ya kidato cha sita yalikuwa mazuri tu katumia wakala nikapata chuo nje ya nchi kwa mwaka $3600 pamoja na kula na hostel fees.
Gari akauza tukatumia kuongeza pesa ya Ada nikaja chuo nchi za watu kusomea IT(information Technology).
Lakini baada ya kufika huku chuo hata mwezi haujaisha akawa kwenye mahusiano na jamaa mhuni tu pale bongo na kasema hili ni game wewe endelea na masomo najua nacho kifanya.

Baada ya mwezi akasema nisipige sm wala kutuma sms ila nimtafute Snapchat kwa madai jamaa aliye nae kaachana na mke wake sababu yangu hivyo na mimi nime mwambia mimi na wewe hatupo kwenye mahusiano.
Huduma ikawa inasua sua ya pesa ya matumizi na mwezi ulopita kasema lasimi mimi na yeye basi.
Nimeleta story hii kwa ushauri tu nifanye nini sababu kazi iliyo kuwa inanipatia pesa niliacha kwa jeuri, Gari likauzwa na chuo sija maliza naombe ushauri wana JF hii ni true story na nipo kwenye hii situation hadi sasa[emoji1488].

View attachment 2628979
 
Shusha contact zake tumuulize km ni kwel kaachana na ww?
 
Au lbd bado yupo kwenye mission yake endlea kusklzia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom