Nilijua ana danga na bado nikawa nae

Nilijua ana danga na bado nikawa nae

Sasa bwana tall wa mtaa nikupe pole tena mkuu maana kama bado miaka miwili parefu na bahati mbaya sana india watu wanaosoma coz kam yako wako weng na weng wanaweza wakawa grafuate kabisa. Sikia jichanganye kitaa kwanza kwa huko india tafuta pesa ya kuendesha maisha mkuu kisha waza kurud home kama ngoma ikiwa ngum san nenda ubalozi wako nchini india kisha jieleze kiuna namna unaweza pata msaada ukarejea town kama ngoma itakiwa ngum sana. Hayo yafanye kama maamuzi ya mwisho kabisaa

Asante sana Nyanda madirisha
 
Dah, pole sana mkuu ila si mbaya bro we n kidume pambana tu, ila japokuwa uko uliko aisee hiyo nchi ni ngumu sana afadhal hata ingekuwa USA au ENGLAND. Ila apo pambana kama unaona ngumu fanya ndugu na jamaa wajichange urudi tu maana INDIA si salama kabisa
 
Dah, pole sana mkuu ila si mbaya bro we n kidume pambana tu, ila japokuwa uko uliko aisee hiyo nchi ni ngumu sana afadhal hata ingekuwa USA au ENGLAND. Ila apo pambana kama unaona ngumu fanya ndugu na jamaa wajichange urudi tu maana INDIA si salama kabisa

Ni kweli kabisa mkuu Asante kwa ushauri comrade
 
Nenda balozi ya tz India. I always find great people , they even give you deals. If you have skills. Amini utapiga hela unexpectedly
 
Habari za humu familia kubwa ya wana Jf:

Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu mwaka 2016 nilikutana na dada nikiwa nafanya mazoezi ufukweni (coco-beach) tuka share mawili matatu hakuwa na simu lakini akaomba namba yangu nimtajie then atanipigia.

Yule dada kweli baada ya week alipiga simu na akaja kwangu na hapo penzi jipya likazaliwa na kipindi hicho nilikua kwenye ajira kampuni X hapo dar, mpenzi wangu yeye hakuwa na kazi na isitoshe hakuwa mtanzania kabisa ni mtu kutoka Africa ya kati kaingia kama mkimbizi tu.

Sikuwa na budi kuanza life mpya na yule dada na akaomba tufanye mchakato apate uraia na kweli tume pigana kapata uraia lakini kwa ubini wa majina yangu na hapo sasa nikajua alivyo zaidi.
Kwanza akasema yeye anadanga lakini na wazungu amabao hawapo Tanzania na wana mpatia pesa ya kutosha na kweli 1m au 3m kwa mwezi zilikuwa zinatumwa kwake na kadai kama nitakuwa mwelewa tufanye maisha na kazi niache kwa madai mshahara ni mdogo ambayo nilikuwa napata kama 400k kwa mwezi.
Kazi nimeacha kununua gari tena kwa majina yangu nikawa naendesha uber na bolt nikawa napata 60k kwa siku sio mbaya biashara ikiwa mbovu sana sikosi 30k faida.
Nime fanya ile kazi kama mwaka akasema hii kazi pia haikulipi mwaka 2021 akasema unatakiwa uende chuo sasa lakini nje ya nchi kutokana na matokeo ya kidato cha sita yalikuwa mazuri tu katumia wakala nikapata chuo nje ya nchi kwa mwaka $3600 pamoja na kula na hostel fees.
Gari akauza tukatumia kuongeza pesa ya Ada nikaja chuo nchi za watu kusomea IT(information Technology).
Lakini baada ya kufika huku chuo hata mwezi haujaisha akawa kwenye mahusiano na jamaa mhuni tu pale bongo na kasema hili ni game wewe endelea na masomo najua nacho kifanya.

Baada ya mwezi akasema nisipige sm wala kutuma sms ila nimtafute Snapchat kwa madai jamaa aliye nae kaachana na mke wake sababu yangu hivyo na mimi nime mwambia mimi na wewe hatupo kwenye mahusiano.
Huduma ikawa inasua sua ya pesa ya matumizi na mwezi ulopita kasema lasimi mimi na yeye basi.
Nimeleta story hii kwa ushauri tu nifanye nini sababu kazi iliyo kuwa inanipatia pesa niliacha kwa jeuri, Gari likauzwa na chuo sija maliza naombe ushauri wana JF hii ni true story na nipo kwenye hii situation hadi sasa[emoji1488].

View attachment 2628979
Kama nakuona vile ndugu jinsi na wewe utakavyoanza kudanga huko ughaibuni. Tafuta mwenyeji tu uoe ili migration wa huko wasikisumbue, pambana India fursa za ajira zipo hasa japo hutakiwi kuwa too selective
 
Kama nakuona vile ndugu jinsi na wewe utakavyoanza kudanga huko ughaibuni. Tafuta mwenyeji tu uoe ili migration wa huko wasikisumbue, pambana India fursa za ajira zipo hasa japo hutakiwi kuwa too selective

Mahusiano naogopa sasa acha nijitafute
 
Kama hii story ni ya kweli basi mkuu elewa inawezekana ikawa ndiyo tobo hilo komaa mkuu wakati mwingine unaweza kulaani kumbe alikuja kukunyooshea njia baharia...
Hakuna mwanaume mpumbavu wa kukubali kwenda kusoma upuuzi na ajira hakuna na ada mlipa ada ni demu wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom