mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 936
Watoto watatu walikuwa wanatoka shuleni, wavulana wawili na msichana mmoja. Njiani walikuta mti wa maembe yameiva, wale wavulana wakasema hawajui kupanda ili watungue maembe. Basi yule msichana akaenda pembeni kidogo kisha akarudi akampatia mmoja mkoba wake kisha akapanda juu. Baada ya mda mama wa yule binti akapita karibu na mwembe alipomuona binti yake yuko juu akamwita akashuka wakaondoka wote, wakati wako njiani Mama wa binti akamwambia bintiye , wale rafiki zako wamekwambia upande juu ili wachungulie chupi yako.! Binti akamjibu, hee kwani mi ndo sijui, niliivua kwanza kabla ya kupanda .