Suala la muda wa posti sio ishu usikariri maisha kuna watu wanafanya kazi night shift usiku wanakuwa macho na shughuli si nyingi kama shift za mchana so wanakuwa wanarilax na jf.
Suala la msingi no walimu mashoga, wanaoingiliwa kinyume cha maumbile.
Mimi na mjua mmoja huyu jamaa anaitwa Andrew Kato alimaliza bachelor of education udsm mwaka 2005 degree ya miaka 4.
Alipomaliza alijiriwa serikalini akapangiwa kazi shule za manispaa ya Moshi mjini nadhani ilikuwa 2006.
Miaka ya 2013 huyu jamaa alifukuzwa kazi kwenye hiyo shule baada ya kugundulika alikuwa na mahusiano yasiyofaa na wanafunzi wa kiume wa shule hiyo. Hili suala lilitangazwaga Hadi kwenye vyombo vya habari.
Huyu jamaa baadae akapataga kazi shule flani kimara inaitwa paridime hapo hakukaa sana akafukuzwa Kwa kosa la kujulikana alikuwa yeye mwalimu anaingiliwa kinyume na wanafunzi.
Baadaye huyu jamaaa akahamia shule inaitwa ebonight ya huko huko kimara , huko Napo alifukuzwa Kwa kosa hilo Hilo.
Kimsingi walimu wa namna hii wapo, kinachotakiwa ni sisi wazazi kuwa makini na shule tunazopeleka watoto wetu pamoja na kumuomba mwenyezi Mungu atuepushie mbali hili janga kwenye familia zetu. Manake mi aibu sana.
Huyo jamaa namjua Kwa kuwa tulimaliza wote udsm