Yule mzee sabuufa simuamini ukichukulia kwamba alikua anautaka ukiranja mkuu na maelekezo ya waganga wetu sote twayajua. Lazima alipumzika pale.Ni kweli mkuu nikiangalia katika maisha ya jamaa. Zile siku alizokaa kwa marafikii wa baba kuna mengi yalimpata.
Mwisho wa siku kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe. Lakini kuwa India wangese duniani si rahisi. Wamepigana sana Ulaya mpaka wameweza kukubalika katika jamii.Naona leo humu ndani kumejaa habari za mashoga.....
Pengine hata humu wamo, ila ningependa kuwasihi waache huo mchezo maana gharika la siku ya mwisho halitowaacha salama....
Pole sanaNilipita shule moja mwalimu wangu wa physics alikuwa shoga yaani hii dunia ngumu sana alinibananisha usiku kwenye maabara akitaka nimfokoe na bahati mbaya sana alikuwa anajuana na mzazi wangu hivyo alikuwa kama mlezi wangu wa shule na sikuwa na wasiwasi naye mpaka huo usiku alioniita maabara akitaka nimle na shule nikahama
Binafs nimekuelewa sanaNi wakati ninajiandaa na GSEE nilihitaji Masaada wa hesabu. Alipatikana mwalimu anaitwa Lesley. Alikuwa handsome na wakati ule ndiyo puberty age nilikuwa ninahakikisha nimechana nywele vizuri na sikusahau deodorant.
Nikikuja kugundua Lesley ni gay niliumia lakini alikuwa mwalimu mzuri sana. Alinisaidia sana kufaulu mtihani.
Baba yake Lesley alikuwa diplomat wa nchi mojawapo duniani. Aliniambia maisha yao yalikuwa ni ya kizunguka dunia. Hii ili leta changamoto katika elimu yake. Mara nyingi aliachwa na marafiki wa familia ili amalizie mitihani kabla ya kuwafuata wazazi wake.
Alisema malezi yake mbali na wazazi wake ilichangia sana kumfanya yeye kuwa alivyo.
Kama Lesley mtoto wa mwana diplomasia huwezi kudhani alipitia abuse kwenye maisha. Baba yake aliamini marafiki zake kumbe wamemharibia mtoto.Binafs nimekuelewa sana
Sio kila shoga anapenda kuwa hivyo
Kuna wengine wako hivyo kutokana na mazingira ya makuzi yao!
Kuwachukia sio solution ya mwisho
Ni wakati ninajiandaa na GSEE nilihitaji Masaada wa hesabu. Alipatikana mwalimu anaitwa Lesley. Alikuwa handsome na wakati ule ndiyo puberty age nilikuwa ninahakikisha nimechana nywele vizuri na sikusahau deodorant.
Nikikuja kugundua Lesley ni gay niliumia lakini alikuwa mwalimu mzuri sana. Alinisaidia sana kufaulu mtihani.
Baba yake Lesley alikuwa diplomat wa nchi mojawapo duniani. Aliniambia maisha yao yalikuwa ni ya kizunguka dunia. Hii ili leta changamoto katika elimu yake. Mara nyingi aliachwa na marafiki wa familia ili amalizie mitihani kabla ya kuwafuata wazazi wake.
Alisema malezi yake mbali na wazazi wake ilichangia sana kumfanya yeye kuwa alivyo.
Mkuu jaribu kumuelewa, mie naona sio kama anahalalisha bali anajaribu kuangalia chanzo cha wengine kuwa mashoga ingawa sio wote.Dada yangu Mpendwa JamiiForums nzima hapa unataka ' Kuhalalisha ' nini labda?
Yap uwe unasubiri kunakucha vinginevyo utajikuta umepewa kesi za kuvunja na kuiba kama sio unyanganyiKwani hii forum kuna muda wa kuandika hata kwa ninayeuza matikiti nimeamka saa 8 kuja kupokea mzigo hivo nisubiri kuche ndio niingie jf?
Mashoga wapo na kama hamuwataki wauweni tu lakini kupigana na ushoga ni vigumu. Walioamua kuishi maisha hayo waacheni lakini watoto wenu muwafundisheDada yangu Mpendwa JamiiForums nzima hapa unataka ' Kuhalalisha ' nini labda?
Suala la muda wa posti sio ishu usikariri maisha kuna watu wanafanya kazi night shift usiku wanakuwa macho na shughuli si nyingi kama shift za mchana so wanakuwa wanarilax na jf.Mimi ninaiona hii post SAA 10.33 alfajiri