Nilifundishwa na mwalimu shoga

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Ni wakati ninajiandaa na GSEE nilihitaji Masaada wa hesabu. Alipatikana mwalimu anaitwa Lesley. Alikuwa handsome na wakati ule ndiyo puberty age nilikuwa ninahakikisha nimechana nywele vizuri na sikusahau deodorant.

Nikikuja kugundua Lesley ni gay niliumia lakini alikuwa mwalimu mzuri sana. Alinisaidia sana kufaulu mtihani.

Baba yake Lesley alikuwa diplomat wa nchi mojawapo duniani. Aliniambia maisha yao yalikuwa ni ya kizunguka dunia. Hii ili leta changamoto katika elimu yake. Mara nyingi aliachwa na marafiki wa familia ili amalizie mitihani kabla ya kuwafuata wazazi wake.

Alisema malezi yake mbali na wazazi wake ilichangia sana kumfanya yeye kuwa alivyo.
 
Sky Eclat muda huu anashusha nazi zake kutoka rufiji niko nae buguruni nashusha tikitiki maji kutoka mkuranga sasa kazi na dawa.
 
mbona ni kawaida kwa hizo shule zenu za international unaweza kuta karibu nusu ya walimu na wanafunzi ni mashoga
kuna mada uliwahi kuandikwa humu kuhusiana na ushoga kwenye shule za st marrys
 
Kuna mahali niliandika kuna mtu akanibishia, ushoga huchangiwa sana na Malezi pamoja na kijana kundi la marafiki anaokuwa nao
 
Umeshapeleka jina lake kwa Oil chafu? Kama bado Fanya hima ulipeleke
 
Kuna mahali niliandika kuna mtu akanibishia, ushoga huchangiwa sana na Malezi pamoja na kijana kundi la marafiki anaokuwa nao
Ni kweli mkuu nikiangalia katika maisha ya jamaa. Zile siku alizokaa kwa marafikii wa baba kuna mengi yalimpata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…